Recent content by Dindilimunyo

  1. Dindilimunyo

    Nawasihi kina dada kunyoa nywele za chini

    Duuh wanawake wengi wa Kijauluo wapi hivyoo! Na ukiona hivyo inamaana yake kinmilaa! Na wamakondee! Ukiona vuzi hivyo ukue ana bwana lakini hamhudumiii! Sasa hapo kazi kwakoo! Na kwa wa Jaluonmanake shamba hilo halina mimaji so anza kulitunza
  2. Dindilimunyo

    Nitatoa zawadi ya 200,000

    Huku ni kuchafuliana
  3. Dindilimunyo

    Namna gani ya kufurahia mgegedo na mtu aliekeketwa?

    Hahahah you are very fun jamaa! Khaaa sasa hayo ndio mambo gani! Yani nilimgegeda mara moja tu nilikuwa sijuw na hapo hapo akapata mimba na nikawa nipo mbali kimasomo sasa nilivyorud ndio nimekaa nae nimejuaa hii kitu
  4. Dindilimunyo

    Namna gani ya kufurahia mgegedo na mtu aliekeketwa?

    Salam wana jukwaa, Natumaini mpo wazima wa afya. Naomba kueleweshwa nimekuwa na mahusiano na na mtu ambae amekeketwa yani sifurahii chochote tunapogegedana ila mambo mengine yupo vizuri anatabia nzuri na ana kila sifa lakini shida ipo hapo tuu yani imebidi niwe na mwanamke mwingine coz of...
  5. Dindilimunyo

    Huko kwenu viroba vimepewa jina gani?

    Vinaitwa Kimya kimyaa
  6. Dindilimunyo

    Serikali yatenga bajeti ndege 3 ATCL

    Ninacho jua mm bajeti au matumizi yoyote ya Serikali hupangwa na bunge! Natamani sana kufahamu bajet ya kununua ndege hizi za ATCL ilipangwa bunge lipi? Tenda ya kununua hizo ndege kapewa nani? Hofu yangu ni ya kawqida tuu huenda tukawa tunapigwa hela nyingi pasipo kujua!
  7. Dindilimunyo

    Peter Mutharika: Ziwa Malawi ni letu, hakuna umiliki wa pamoja, lazima tulinde mali yetu

    Naangalia mgogoro huu kama kuna kitu nyumaa! Malawi sio wajinga kuna wqtu nyuma yao hawataki utawala huu! Unaweza kuona tutachapika vizuri tuu ! Ukute kuna nchi kibao nyuma ya malawi! So wakati mwingine ukichokozwa inabidi uangalie mara mbili mbili kuna nani nyumaa! Anaweza kaja mtu kukupiga...
  8. Dindilimunyo

    Ikiwa ni kweli mkuu wa mkoa wa Dar ameidharau tume ya Nape sasa atakuwa kafika mbali!

    Alipo pigiwa cm aliwaambiaa hawezi kuzungumzia jambo hilo kwa sasaaa
  9. Dindilimunyo

    Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Makonda alikuwa ofisi za Clouds mapema kuliko kawaida yake, mpaka tukahoji jamaa ana kipindi Clouds nini maana si kwa kuja huko kila siku lakini tuitetea tukajua ni sawa kama viongozi wengine wanavyofikaga mjengoni kila siku maana nikawaida yao! Cha ajabu siku hiyo alikaa mpaka usiku akawa...
  10. Dindilimunyo

    Tekinolojia inayotumiwa na whatsapp ya ENCRYPTION

    Tanzania wanaweza kusikiliza CM pekee lakini sio hayo mambo mengine
Back
Top Bottom