Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Rais wa Malawi Peter Mutharika ametangaza kuwa hakuna nchi ambazo zinamiliki kwa pamoja Ziwa Nyasa na kwamba hajafikia makubaliano na nchi yoyote, hivyo ameahidi kulinda umiliki na maslahi yake.
Je, kwa uonavyo wewe ili ziwa ni la wapi ?
1. Tanzania
2. Malawi
3. Tanzania na Malawi
Source eatv