Huko kwenu viroba vimepewa jina gani?

Huko kwenu viroba vimepewa jina gani?

Huku nilipo vinaitwa vifurushi.

Ukifika unasema niunge utaulizwa cha siku au wiki. Yaani kimoja au viwili?
Ukishachagua kifurushi chako pendwa unaulizwa tigo au voda. Tigo ni highlife na voda ni London. Ukichagua mtandao basi utaona glass inakuja na moja kwa moja unakuwa umeungwa.

Raha sana.

Huko kwenu wanaitaje?
Vinaitwa nalubhindubhindu
 
huku kwetu uhayani tunaviita to the extent, kiroba cha jero. halafu to the maximam cha buku. .
 
U really made my day[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom