Recent content by Differential Equations

  1. Differential Equations

    JamiiForums Tanzania Mbowe acha kuzuia wazee wa Iramba na BAVICHA kumtembelea Lissu

    Ulivyoandika neno wanahako badala ya neno wanahaki sijaendelea tena kusoma uzi wako maana nimeona wewe umetumwa.
  2. Differential Equations

    JamiiForums Tanzania Kumu 'ignore' dereva wa Lissu lilikuwa kosa kubwa sana la 'watu wasiojulikana'

    Huyu muuwaji kwa sasa atakuwa ameshushwa cheo maana watesi wake hawawezi kufurahi
  3. Differential Equations

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa anayejua Tanesco HQ POST ZA SECURITY OFFICER zimefikia wapi??

    TANESCO INANUKA FULL KUJUANA
  4. Differential Equations

    JamiiForums Tanzania Msaada: naomba kufahamishwa namna ya kuongeza jina la 3 kwenye vyeti.

    Habari za Leo ndg zangu Naomba kupewa process ya kuongeza jina la 3 kwenye vyeti na garama zake kwa wanaofahamu. Thanks.
  5. Differential Equations

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa anayejua Tanesco HQ POST ZA SECURITY OFFICER zimefikia wapi??

    Mbona sijibiwi no any one knows??
  6. Differential Equations

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa anayejua Tanesco HQ POST ZA SECURITY OFFICER zimefikia wapi??

    Ndugu zangu Habari za Leo? Mimi ni mmoja kati ya walioomba nafasi ya security officer TANESCO HQ na deadline ya tangazo ilikuwa may 25 Lakini mpaka Leo July 25 hakuna updates zozote nilizopata Kwa anayefahamu naomba anijuze updates please. Nawasilisha.
  7. Differential Equations

    JamiiForums Tanzania Naomba updates za Interview ya TANESCO

    Ndugu zangu mm nili apply HQ post ya SECURITY OFFICER deadline ilikuwa may 25 lakini mpaka sasa hakuna feedback yoyote lakini vigezo vyote ninavyo Kwa anayejua naomba anijuze zaidi
  8. Differential Equations

    JamiiForums Tanzania Naomba updates za Interview ya TANESCO

    Kitengo gani mkuu
  9. Differential Equations

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo CCM walivyotufanya watanzania

    It is true mkuu CCM sina hamu nayo
  10. Differential Equations

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Dkt. Mashinji (Katibu Mkuu wa CHADEMA) na Viongozi 8, watakaa Korokoroni Polisi kwa saa 48

    Futeni vyama vyote ibaki CHUKUA CHAKO MAPEMA
  11. Differential Equations

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo CCM walivyotufanya watanzania

    Moja: CCM imeharibu uchumi biashara zimefungwa, viwanda vime collapse, Weka na la kwako, twende kazi.
  12. Differential Equations

    JamiiForums Tanzania Serikali imetoa kibali cha ajira ya watu 10,000 kuziba pengo la watumishi wa Vyeti feki.

    Mnaosubiri ajira katika serikali ya CCM mtasubiri sana hakuna ajira hapo maji yapo shingoni wakuu
  13. Differential Equations

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Utaratibu wa kumuoa msichana wa kipare

    Duuuhhh wapare hakuna humu
Back
Top Bottom