Naomba kwa anayejua Tanesco HQ POST ZA SECURITY OFFICER zimefikia wapi??

Differential Equations

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
204
200
Ndugu zangu Habari za Leo?

Mimi ni mmoja kati ya walioomba nafasi ya security officer TANESCO HQ na deadline ya tangazo ilikuwa may 25

Lakini mpaka Leo July 25 hakuna updates zozote nilizopata

Kwa anayefahamu naomba anijuze updates please.

Nawasilisha.
 
Interview ilifanyika ndugu,waliomba watu 320
tarehe 15/07/2017 walifanya written watu 80
Tarehe 16/07/2018 wakachuja 26 ambao waliwafanyia oral interview,
Matokeo bado
 
Interview ilifanyika ndugu,waliomba watu 320
tarehe 15/07/2017 walifanya written watu 80
Tarehe 16/07/2018 wakachuja 26 ambao waliwafanyia oral interview,
Matokeo bado
Walitumia vigezo gani kuita watu.
 
Tanesco kuna rushwa na kujuana sana ili upate kazi, kuna watu wanafanya km kibarua Mwaka 4 huu.
Cha ajabu wanapewa majukum makubwa km wameajiliwa.
 
Duuuuuuuhhh

usikate tamaa,kama haukuwa shortlisted kwa nafasi ile ujipange upya,pitia tangazo la kazi lilisemaje nina uhakika kuna kitu haukukamilisha either uandishi wa barua ya kuomba maana walitoa vigezo kadhaa ,pili attachments inawezekana kuna vitu kadhaa haukuwa sawa na kuendana na Tangazao!So jipange upyaa am sure next time kwenye relevant posts sehemu yoyote utaitwa,maana kwa Muomba kazi ku apply ni 1,2 ni kuwa shortlisted na 3 ni kwenda kwenye second stage ambayo ni oral so fanya analysis na weka takwimu kwa diary yako ili ujithamini na kutokukata tamaa
 
Ingekuwa vzr kama ungeenda kanda ya kusini na kuuliza wale STE wamefanya miaka mingapi.
Nenda urudishe majibu hapa tuone nani muongo. Weee mkuda kweli.
Kusini mbona ni mbali sana,aje hapa Ilala tu,watu wana miaka mitano mpaka kumi lakini bado ni vibarua
 
Back
Top Bottom