Recent content by dicksonpm

  1. D

    Sizitaki Mbichi Hizi!!

    Kwa kweli mmenikumbusha mbali sana, kwani tulikuwa tunabeba kila kitu kichwani.. HEBU MWENYE REKODI YA HADITHI YA WALE WATU WATATU WALIOJIFUNIKA NA MAJANI VITANI NA KUAMBIANA WAKAE KIMYA ADUI WAKIPITA. WA KWANZA BAADA YA KUKANYAGWA ALILALAMIKA "MBONA MNAKANYAGA WENGINE KAMA MAJANI?', WA PILI...
  2. D

    Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

    Kwa kweli maneno huumba
  3. D

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 10 Juni, 2014

    ni ngege ya kivita au charter plane ya kawaida?
  4. D

    Je, wajua kuwa kuna uwezekano Tanzania sio nchi halali Kisheria (De Jure) Bali ni De Factor?!

    tarehe 9 december ni sikukuu ya uhuru wa iliyokuwa tanganyika.
  5. D

    Rest In Peace Tata Madiba!!

    R.i.p nelson mandela the hero of africa!
  6. D

    Mbowe aandika maandishi ya Uchochezi kwenye Gari lake, serikali mnafuga ugonjwa

    “We cannot be sure of having something to live for unless we are willing to die for it.” ― Ernesto Guevara
  7. D

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Siamini issa shivji hayumo!!! Mtaalamu na mtu wa uhalisia na muona mbali katika mambo hayo hayumo?
  8. D

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Safi sana hongera kwa ushindi, mungu ni wa wote daima hamtupi mja wake!!
  9. D

    Kutoka kwenye Kampeni Jimbo la Uzini Zanzibar: Dr. Slaa aweka sawa hoja ya posho

    Kwa kweli watu inabidi wajielewe na haki zao wazijue...sasa wewe unavyosema raza ndio mwenye mali una maana gani? mali ya kununua kura za watu? wandugu hayo mazoea yaliyorithishwa kwenywe vichwa vya watu na utawala uliopo ni ugonjwa ulowakumba watu wengi kama mwandishi wa hiyo msg juu.....RUSHWA...
  10. D

    Muigizaji Kanumba ahofiwa kupotea msitu wa Congo

    Aaaaah!!!! a childish style for gaining cheap popularity........
  11. D

    UK yataka Tanzania na nchi zinazoendelea zitambue haki za mashoga

    jamani hapa inabidi kukaa chini na kujiuliza uhuru tuliokuwa tunapigania una maana gani??? Hii ni kwa sababu katika hali ya kawaida uhuru tulioupata kutoka kwa wazungu hao ili tujitegemee umekuwa hauna maana, kwani haohao wazungu tuliowafukuza ndio wanaendelea kutupangia jinsi ya kuishi, yaani...
Back
Top Bottom