Kutoka kwenye Kampeni Jimbo la Uzini Zanzibar: Dr. Slaa aweka sawa hoja ya posho

hee! jimbo limekuwa "mali!" unamaana gani kusema "Raza ndo mwenyemali". Ukishazoea wizi, kila kitu ni mali. mafisadi wakubwa.
 
Mara hii mutamaliza maneno yenu yote mpaka mate mdomoni yawakauke lakini mwisho wa siku jimbo la Uzini hamulipati (Raza ndiye mwenye mali). Kama hamuna kazi ya kufanya vukeni Bahari muje Pemba huku mujumuike na Wanyamwezi wa Tabora na Wasukuma wa Shinyanga tuwape mashamba ya mikarafuu mutuondolee magugu na pori! Njooni huku kuna Mapesa ya Bure ya Wajomba zetu toka Arabuni, mukirejea 'Bongo' nyote mupo full vibaraghashia huku mukiwa mumejaza tende kwenye viroba.
Hapo ndo pana shangaza na kukatisha tamaa pale mwanamme mzima na akili zake timamu kubadilika na kuanza kuvaa kibaraka shehe, gauni na kususia viatu infavour of kandambili??!!!!
 
Usiwe na kichwa mbofu mbofu weweee! Epuka kutoa tafsiri unazoziwaza wewe katika matope yako ambayo yamo ndani fuvu zako la kichwa!, tanuka kimawazo kidogo.
 
Mara hii mutamaliza maneno yenu yote mpaka mate mdomoni yawakauke lakini mwisho wa siku jimbo la Uzini hamulipati (Raza ndiye mwenye mali). Kama hamuna kazi ya kufanya vukeni Bahari muje Pemba huku mujumuike na Wanyamwezi wa Tabora na Wasukuma wa Shinyanga tuwape mashamba ya mikarafuu mutuondolee magugu na pori! Njooni huku kuna Mapesa ya Bure ya Wajomba zetu toka Arabuni, mukirejea 'Bongo' nyote mupo full vibaraghashia huku mukiwa mumejaza tende kwenye viroba.
Mbona kama haujui kiswahili hivi na hata kuandika haujui?ulikua unakimbia darasani nin?kama vipi piga elimu ya watu wazima sio mabaya mkuu
 
Hapo ndo pana shangaza na kukatisha tamaa pale mwanamme mzima na akili zake timamu kubadilika na kuanza kuvaa kibaraka shehe, gauni na kususia viatu infavour of kandambili??!!!!

Mkuu ukiniona nimeweka comment hapa ukumbini jaribu sana kuepuka kuweka comment zenye harufu ya kejeli ya Udini, hujawahi hata siku moja kunishuhudia nikileta dharau ya Dini flani! Naijua Bible tena zaidi Agano la kale, ndani nje, nje ndani sambamba na Quran! Nakusihi unionapo mimi akili zako ziwe na akili mbele ya Dini.
 
Mara hii mutamaliza maneno yenu yote mpaka mate mdomoni yawakauke lakini mwisho wa siku jimbo la Uzini hamulipati (Raza ndiye mwenye mali). Kama hamuna kazi ya kufanya vukeni Bahari muje Pemba huku mujumuike na Wanyamwezi wa Tabora na Wasukuma wa Shinyanga tuwape mashamba ya mikarafuu mutuondolee magugu na pori! Njooni huku kuna Mapesa ya Bure ya Wajomba zetu toka Arabuni, mukirejea 'Bongo' nyote mupo full vibaraghashia huku mukiwa mumejaza tende kwenye viroba.

Kwa kweli watu inabidi wajielewe na haki zao wazijue...sasa wewe unavyosema raza ndio mwenye mali una maana gani? mali ya kununua kura za watu? wandugu hayo mazoea yaliyorithishwa kwenywe vichwa vya watu na utawala uliopo ni ugonjwa ulowakumba watu wengi kama mwandishi wa hiyo msg juu.....RUSHWA MNAIWEKA MBELE KATIKA MASUALA YA MSINGI YA MAISHA YA WATU....
BADILIKENI JAMANI MJITAMBUE NA LINDENI HAKI ZENU...PESA ISIWE KIGEZO CHA UONGOZI..."MWENYE MALI?"
 
Dr.amefanya vizuri sana kukumbushia jinsi alivyoanzisha mapambano haya dhidi ya posho za wabunge katika bunge la 9 na hatimaye Mbowe kuweka hili suala bayana katika bunge la bajeti kwamba posho si hoja ya mtu binafsi bali ni hoja yachama.

Nakubali kwamba Zitto ni waziri kivuli wa fedha na ndiye aliyetumwa na chama kusemea chama chake. Zitto kaendeleza alipoishia Dr. Slaa kuhakikisha hoja haifi, lakini Zitto ameenda hatua ya ziada ya kuamua kuacha kuchukua posho ili kuonyesha njia. Njia pekee ya Chadema ni kumuunga mkono kiongozi wake kwa kuagiza wabunge wake wasipokee posho za vikao.
.

Wabunge wa CDM ni kama tone ktk bahari yaani ni wachache sana ukilinganisha na wale wa CCM. Hivyo kutokuchukua hizo allowance haitaweza kuleta impact kubwa ya uchumi. Kama wabunge wa magamba wangegoma, basi impact yake ingekuwa kubwa. Hapa ni kuwalazimisha tu hayo magamba kutokuchukua hiyo posho. Na kuwalazimisha kwao ni kwa kutokuwapigia kula hao wanyonyaji
 
Mbona kama haujui kiswahili hivi na hata kuandika haujui?ulikua unakimbia darasani nin?kama vipi piga elimu ya watu wazima sio mabaya mkuu

Ulitakiwa useme "Kiswahili sanifu kinanipa tabu" na sio uniambie mimi sijui Kiswahili. Najua hukunifahamu kwa sababu sikuweka 'r' badala ya 'l' kuweka 'l' kila penye 'r', mfano; ulitaraji kuona neno Laza badala ya Raza, ulitaka kuona Bahali badala ya Bahari, ungefurahi zaidi kushuhudia msamiati Tabola badala ya Tabora, ulitaka niweke mikalafuu badala ya Mikarafuu nk. Mkuu pale hapakua na neno/maneno jipya wala lisilofahamika, kama Kiswahili kinakupa mashaka nitafute nikupe 'Tution' ya Kibantu sanifu.
 
Hongera Dr Slaa kwa kuthubutu kusema ukweli, maana hawa magamba sasa kama wameshindwa kuaminiana ni vipi sis watz tuwaamini? Binafsi sina imani nao hata kidogo
 
Kwa kweli watu inabidi wajielewe na haki zao wazijue...sasa wewe unavyosema raza ndio mwenye mali una maana gani? mali ya kununua kura za watu? wandugu hayo mazoea yaliyorithishwa kwenywe vichwa vya watu na utawala uliopo ni ugonjwa ulowakumba watu wengi kama mwandishi wa hiyo msg juu.....RUSHWA MNAIWEKA MBELE KATIKA MASUALA YA MSINGI YA MAISHA YA WATU....
BADILIKENI JAMANI MJITAMBUE NA LINDENI HAKI ZENU...PESA ISIWE KIGEZO CHA UONGOZI..."MWENYE MALI?"

Ndugu zangu Watanganyika munapata tabu sana katika lugha ya Kiswahili! Panaposemwa 'mwenye mali', maelezo haya hua hayana maana moja kama ambavyo wewe umefikia upeo wako wa kutoa tafsiri bila kuniuliza nimekusudia nini!! Ama kweli Wazanzibari tunayo kazi kubwa kwenu; hata lugha (ambayo ni yetu sote) munashindwa kufahamu kama Sentesi/neno moja inaweza kutolewa tafsiri tofauti tofauti; inategemea na mwandishi/mzungumzaji vipi (njia gani) kakusudia kuitumia katika kufkisha ujumbe wake kwa Hadhira. Someni Kiswahili waungwana!
 
Mara hii mutamaliza maneno yenu yote mpaka mate mdomoni yawakauke lakini mwisho wa siku jimbo la Uzini hamulipati (Raza ndiye mwenye mali). Kama hamuna kazi ya kufanya vukeni Bahari muje Pemba huku mujumuike na Wanyamwezi wa Tabora na Wasukuma wa Shinyanga tuwape mashamba ya mikarafuu mutuondolee magugu na pori! Njooni huku kuna Mapesa ya Bure ya Wajomba zetu toka Arabuni, mukirejea 'Bongo' nyote mupo full vibaraghashia huku mukiwa mumejaza tende kwenye viroba.

Mkuu Mpemba mbishi, hakyanan wanchekesha!
Tizama hapo nlipotilia wino mwekundu.
Pamoja na mapesa ya bure kutoka kwa ankol zenu wa Arabuni, mbona vijumba vya tembe vimeongozana huko Pemba?
 
Mkuu hata kule Kijijini kwenu ulikotoka kabla ya kuja hapo ulipo sasa kwa ajili ya kujitaftia vijipesa (hadi sasa umekua mjanja wa kutumia Simu na Computer na kujua kutumia Internet) pia kuna hali kama uliyoizumgumzia katika maelezo yako, tena kule hali ni mbaya zaidi ya Pemba! Radio ya mbao moja wanasikiliza mtaa mzima pia akitokezea kijana na kumiliki simu ya Mchina inakua gumzo kwa jamii yote ya kule! Hapo vipi naomba mwongozo wako mdau!
 
Back
Top Bottom