Sasa sijajua kama wewe upo dar au vipi ila kama upo dar duka lipo pale manzese njia ya kwenda mbokomu mkono wako wa kulia ukiingia hiyo barabara ya mbokomu yani duka lipo mwanzoni kabisa. Hiyo dawa unakunywa na kupaka asubuhi ma jioni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo dawa siifahamu kwa jina ila kwa kuiona ndio naifahamu kwa sababu mimi pia nilishawahi kupatwa na tatzo kama hilo nilienda hospital nyingi na kutumia madawa mengi lakini sikupona. Ila baada ya kwenda kwenye maduka ya dawa za aisili nilipewa hiyo dawa na ilinitibu mpaka leo hii hilo tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.