Leo Tigo kama Tanesco

Leo Tigo kama Tanesco

Voda nao wamezingua leo, ukimpigia mtu simu inaenda kwa mtu mwingine au unaweza piga kabla simu haijapokelewa unasikia mtu anaongea tena tofaut na uliempigia sijui server zao zinatatizo
 
Mitandao ya simu inaumwa corona

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi niko hapa Namanga. Hapa tunatumia Safaricom 24/7. Tatizo nikienda kula nyama choma Rombo.
 
Wanapaswa kutufidia kwa usumbufu mkubwa wanaotusababishia.
 
halafu tcra wanatuambie tumchague mtoaji bora wa huduma bora wangesema wanatoa tuzo kwa watoa huduma mbovu kingeeleweka
 
Voda nao wamezingua leo, ukimpigia mtu simu inaenda kwa mtu mwingine au unaweza piga kabla simu haijapokelewa unasikia mtu anaongea tena tofaut na uliempigia sijui server zao zinatatizo
Imenitokea sana leo nilipokuwa nazipigia namba za voda toka tigo.
 
Voda nao wamezingua leo, ukimpigia mtu simu inaenda kwa mtu mwingine au unaweza piga kabla simu haijapokelewa unasikia mtu anaongea tena tofaut na uliempigia sijui server zao zinatatizo
Mkuu hiyo imenitokea hata mimi leo na imeniharbia sana siku mida ya saa 5-6 mchana. Bado nasubir apologize lkn bila bila haadi sasa
 
Mimi niko hapa Namanga. Hapa tunatumia Safaricom 24/7. Tatizo nikienda kula nyama choma Rombo.
Sijaelewa hapa mkuu, kwamba boda ya namanga ipo karibia na Rombo???
 
Rombo ndio inayoongoza kwa kuchoma nyama hapa Tanzania. Ukitaka kula vitamu umbali sio kikwazo. Hata wewe bro kuna siku umemfuata demu wako Buza wakati umepita mademu kibao hapo Buguruni, Kiwalani na Vingunguti.
 
Wangekuwa tigo labda voda hawanaga utaratibu wa ku-apologize

Back
Top Bottom