Msaada wa kupata AVN number kutoka NACTE

Parabora

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2019
Posts
1,504
Reaction score
2,220
kuna dogo namsaidia hapa lakini kila nikituma taarifa hazileti majibu, kwa wenye uzoefu wa elimu hizi za nyumbani kwa diploma nipeni msaada nimsaidie dogo
 
Chakufanya hapo nenda ofisini kwao kabisa utapata msaada wa haraka zaidi, chukua barua ya chuo ulichosoma pamoja na baadhi ya viambatanishi vya kukutambulisha uwahi mara moja maana hao jamaaa hawajibu mtu kwenye EMail wala kwa simu ,

Ila ukifika ofisini kwao nadhani utakuta wanapoga stories na kusoma magazeti kama upo kaskazini , makao makuu yao yapo Arusha , karibu na New Arusha hotel , jengo linaitwa MAFAO HOUSE GHOROFA YA 8
Wakuu habari zenu,
sikuwa na nia ya kuendelea na elimu ya juu hivi karibuni lakini kulingana na mishe zangu kusuasua kwa kiasi kikubwa hizi dakika za mwisho nimeona bora nirudi shule huku nikijijenga upya. nimeingia kwenye site za baadhi ya vyuo kufanya application kuna kipengele kikanihitaji AVN ( Award Verification number) kuwasiliana na help desk ya vyuo husika wakaniambia inatoka nacte, nikaingia website ya nacte nikaweka detail zangu kwa usahihi kabisa system yao ikanikatalia zaidi ya mara4 kwamba mwaka wa graduation na registration number ya diploma yangu havimatch wakati taarifa zote ni shahihi na kibaya namba za help desk za nacte zote hazipatikani na za zonal zinazopatikana hazijibiwi ...nimewatumia email hawajibu na hapa naona deadline ya application nyingi za vyuo ni next week, nisaidieni wakuu kwa wanaofahamu hii issue
 
Pole sana, inabidi ujitahidi uende physically ofisini kwao ukawaeleze watasolve hilo tatizo haraka.
 
Chakufanya hapo nenda ofisini kwao kabisa utapata msaada wa haraka zaidi, chukua barua ya chuo ulichosoma pamoja na baadhi ya viambatanishi vya kukutambulisha uwahi mara moja maana hao jamaaa hawajibu mtu kwenye EMail wala kwa simu ,

Ila ukifika ofisini kwao nadhani utakuta wanapoga stories na kusoma magazeti kama upo kaskazini , makao makuu yao yapo Arusha , karibu na New Arusha hotel , jengo linaitwa MAFAO HOUSE GHOROFA YA 8

Ni bora akafika makao makuu ya NACTE -Dsm,Hawa watu walioko zone hawana msaada wowote zaidi watakwambia uende makao makuu!Mimi LAKE ZONE(MWANZA) nilisumbuana nao sana na hawakuwa na msaada wowote!
 
Back
Top Bottom