Acha voda waendelee kuringa

Acha voda waendelee kuringa

Speed Yes, ila na kwenye kuisha ni kama maji yanamwagika vile.
 
Hallotel had leo hawana 4g yanini kwangu....Voda vifurush vyao ghali... Airtel wako na tatizo la mtandao wa data yan muda wowote utashangaa wako off...Tigo uwiiiiiiiiiii wako ghali mb zakunusa....Ttcl wako na vifurush rahisi na mb nyingi ukilinganisha na hao wengine ila 4g inasehem na sehem yan mtaa huu unaipata mtaa mwingine holla yan haiko full covered.Kibabe kwa sasa niko Airtel 2gb 2000 kwa siku 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halotel wanayo 4G.
 
Back
Top Bottom