Kuanzia leo nampa rasmi Mheshimiwa January Makamba cheo cha ‘Rais wa Mafumbo na Fasihi katika Mawasiliano’

Kama una akili timamu na umeweza kumfuatilia kwa umakini wako mkubwa kabisa akiwa anazungumza ' mahala fulani ' huwezi kukataa na kutokubaliana nami kwamba 99.9% ya Maelezo yake Mheshimiwa Waziri January Makamba yalikuwa ni Mafumbo ya ' Kimadongo ' kwa Kiongozi mmoja ( ambaye hata Yeye pia alikuwepo eneo la tukio na alikuwa anamsikiliza mno tu ) huku akiwa ametumia ujuzi wake mkubwa wa ' Fasihi ' katika Uwasilishaji mbele ya Hadhira.

Sasa naamini kwamba kumbe kuna Vita ya chinichini kati ya January Makamba na huyo Kiongozi ( ambaye namhifadhi ) ila nipende tu kuchukua muda huu sasa kumuomba huyo Kiongozi kuwa mara baada ya tukio la Jumatatu ijayo basi aanze Kujitafakari na ikibidi aweze Kubadilika upesi ili na Yeye Siku ikitokea Mwenyezi Mungu akimchukua basi nasi tutakaokuwepo tuweze Kumlilia na Kumkumbuka kwa mema kama Mpendwa wetu mmoja.

Hakika sijapata kuona Kijana Mjanja, Mwerevu na anayejua Kupima maneno yake vyema huku akijua azungumze nini na wapi huku akimpiga Mtu ' Madongo ' tena akiwa hapo hapo bila kujua ni Yeye na si ajabu nae akawa anacheka kama Mheshimiwa Waziri January Makamba na kuanzia leo nampa Cheo rasmi cha Rais wa Mafumbo na Fasihi Kali.

Baadhi ya maneno yake ni kama yafuatayo nikiyanukuu hapa chini...

" Marehemu hakupenda attention kama wengi wetu "
" Marehemu hakuwa Mtu wa Kinyongo "
" Marehemu hakupenda kabisa Sifa au Kusifiwa kitu ambacho kwa wengi Wetu ni Kigumu "
" Marehemu alichukia mno Kuwaonea wengine kwa Wadhifa wake / Ukubwa wake "
" Marehemu amenifundisha Kunyenyekea Kitu ambacho kwa Sisi wenye dhamana ni ngumu "
" Ukiona una Kigugumizi cha kushindwa Kumzungumzia Marehemu jua kuna maana mbili hapo kwamba ama huna Shukran na umejawa Unafiki ndani yako au umeumizwa Kiukweli kutokana na Mema yake yote aliyokuwa akikufanyia "
" Marehemu atufanye Sisi tuliobaki na hasa wenye dhamana hizi Kubadilika Kimatendo ili nasi Siku tukiondoka hapa duniani tuliliwe hivi kama Yeye "

Shikamoo sana na mno January Makamba. Leo nimekuvulia Kofia rasmi kwamba uko vizuri Kichwani na nina uhakika hata Mzee wako Yusuph Makamba kama kuna Mtoto ambaye anajivunia nae basi ni Wewe. Popote ulipo nakuomba endelea na aina hii ya Hekima na Busara uliyonayo na niseme leo hapa kwamba kama ' coming 2025 ' nikisia Chama changu cha CCM kime ' Shortlist ' majina Matatu na Wewe umo basi nina uhakika kwa Uwezo wako mkubwa, uwerevu wako, exposure yako na Malezi yako basi kwa 99% una uwezo wa kuja kuwa Rais wa Tanzania.

Mwenyezi Mungu akusaidie na akusimamie Kaka.

Nawasilisha.
Mkuu umenifanya nikatafute youtube hiyo Eulogy ya January Makamba, kijana katulia na nimekubali ulichokisema jamaa kakomaa si tu kisiasa naona katika kila nyanja
 
Hapana Mkuu bali ni kwa Mwanae ' Utingo ' wa upakiaji Abiria katika ' DalaDala ' na ili uone kuwa Jamaa ( January Makamba ) ni kama alidhamiria na aliamua Kumaliza hasira zote za Marehemu kwa huyo ' Kiongozi ' hata wakati anayatoa hayo maneno ( ambayo nimeyanukuu hapo juu kwa rangi Nyekundu ) Macho yake alikuwa akiyaelekeza upande ule ule wa Kushoto ambako ' Mlengwa ' alikuwa ameketi.

Nina uhakika hata Marehemu pamoja na kwamba alikuwa amelala pale ' Jenezani ' basi alikuwa akicheka na kufurahi kwa January Makamba kumsaidia Kumjibu Adui yake a.k.a Rafiki Mnafiki na kiukweli Jukumu hilo Makamba amelifanya vyema na nina uhakika ' Mlengwa ' maneno hayo yamemuingia vilivyo japo sina uhakika kama Makamba anaweza akawa Waziri kwa siku zijazo au kwa awamu ijayo kwani ' Utingo ' ataharibu kila Kitu kwa ' Dereva ' wake ambaye wanaaminiana na kukubaliana kwa mengi tu.
Yule mpambe Sugu wa Makonda ambaye inasemekana ndiye aliyeratibu na kutekeleza tukio la kumhujumu Ruge alikuwepo jana? Kuna mtu kamuona Le mutuz jana? Maana nimesikia hapati usingizi baada ya kusikia kuwa kule bukoba huenda wakasoma Alibadiri
 
" Ukiona una Kigugumizi cha kushindwa Kumzungumzia Marehemu jua kuna maana mbili hapo kwamba ama huna Shukran na umejawa Unafiki ndani yako au umeumizwa Kiukweli kutokana na Mema yake yote aliyokuwa akikufanyia "
Nahisi haya maneno huyo ambaye hujamtaja hakuyasikia vizuri, alishindwa kusema neno, akasema anasubiri mpaka Mungu atakapo mwambia cha kusema.
 
Zamani nilikuwa na reservations kuhusu January lakini inaonyesha yuko vizuri jamaa . Ila kupenya kwenye ngome ya dereva huyu sijui. Wanaostahili kubeba bendera ni watatu au wanne. Jafo, Mwinyi, Mbarwa, na January ndio wanaoweza kufuta machungu tuliyonayo. Nimetilia maanani kupokezana Waislamu na wakristo japo haijaandkkwa mahali. Hivi kwa nini wakristo tunatoa marais mbabe Mara zote na wenzetu Waislamu hutuletea marais waungwana Mara zote zilizopita .
Ndio maana neno waungwana walijivika Moslems. Sijui ni background au mafundisho yetu yana kuburuzana sana .Mfano Katoliki dhehebu langu kwa kususia wasiotimiza sakramenti pale viongozi wetu wanakosea.Waislamu hata kama ilikuwa husali ili mradi ulisilimu tu utaswaliwa Mola akikuita. Natamani miaka iende haraka muislamu aingie Magogoni. Nina imani sijawakwaza wakristo wenzangu maana tumeona awamu tano mzunguko unavyokuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi tuu kuwa January Makamba anamsifu Yesu Kristo na Pia Tumaini lake ni Yesu Kristo kama alivyodhihirisha katka salamu yake. FaizaFoxy weka tumaini lako Kwa Yesu Kristo ambaye hata Kuruani na mafundisho ya Waraq ibn Nawfaal kwa Mwamadi yanadhihirisha yuu Hai Milele Yote (hapo kwenye milele yote tumia solfa notation " Do Re Do Ti Do".

Pia GENTAMYCINE jitahidi kutokupigwa Ban mara kwa mara ili nyakati kama hizi uwepo na kutuletea maoni yako dhidi ya mambo mbalimbali yatokeayo Huko Puerto Rico.
 
Nahisi haya maneno huyo ambaye hujamtaja hakuyasikia vizuri, alishindwa kusema neno, akasema anasubiri mpaka Mungu atakapo mwambia cha kusema.
Mungu atamwambia siku akimchukua wakutane huko huko Ahera
 
Nimefurahi tuu kuwa January Makamba anamsifu Yesu Kristo na Pia Tumaini lake ni Yesu Kristo kama alivyodhihirisha katka salamu yake. FaizaFoxy weka tumaini lako Kwa Yesu Kristo ambaye hata Kuruani na mafundisho ya Waraq ibn Nawfaal kwa Mwamadi yanadhihirisha yuu Hai Milele Yote (hapo kwenye milele yote tumia solfa notation " Do Re Do Ti Do".

Pia GENTAMYCINE jitahidi kutokupigwa Ban mara kwa mara ili nyakati kama hizi uwepo na kutuletea maoni yako dhidi ya mambo mbalimbali yatokeayo Huko Puerto Rico.

hiv genta anakulaga ban😂😂😂nahis ni kina sie tu😏
 
Mtu anafaa kua rais kwa maneno ya siku moja? Kweli safari yetu bado ni ndefu.
Sasa mbona yule wa kutosafiri nje akidai kubana matumizi wakati pesa inayotumika kurudia chaguzi mbalimbali ingetosha kusafiri Duniani kote kujifunza ustaarabu yupo ikulu?
 
Kama una akili timamu na umeweza kumfuatilia kwa umakini wako mkubwa kabisa akiwa anazungumza ' mahala fulani ' huwezi kukataa na kutokubaliana nami kwamba 99.9% ya Maelezo yake Mheshimiwa Waziri January Makamba yalikuwa ni Mafumbo ya ' Kimadongo ' kwa Kiongozi mmoja ( ambaye hata Yeye pia alikuwepo eneo la tukio na alikuwa anamsikiliza mno tu ) huku akiwa ametumia ujuzi wake mkubwa wa ' Fasihi ' katika Uwasilishaji mbele ya Hadhira.

Sasa naamini kwamba kumbe kuna Vita ya chinichini kati ya January Makamba na huyo Kiongozi ( ambaye namhifadhi ) ila nipende tu kuchukua muda huu sasa kumuomba huyo Kiongozi kuwa mara baada ya tukio la Jumatatu ijayo basi aanze Kujitafakari na ikibidi aweze Kubadilika upesi ili na Yeye Siku ikitokea Mwenyezi Mungu akimchukua basi nasi tutakaokuwepo tuweze Kumlilia na Kumkumbuka kwa mema kama Mpendwa wetu mmoja.

Hakika sijapata kuona Kijana Mjanja, Mwerevu na anayejua Kupima maneno yake vyema huku akijua azungumze nini na wapi huku akimpiga Mtu ' Madongo ' tena akiwa hapo hapo bila kujua ni Yeye na si ajabu nae akawa anacheka kama Mheshimiwa Waziri January Makamba na kuanzia leo nampa Cheo rasmi cha Rais wa Mafumbo na Fasihi Kali.

Baadhi ya maneno yake ni kama yafuatayo nikiyanukuu hapa chini...

" Marehemu hakupenda attention kama wengi wetu "
" Marehemu hakuwa Mtu wa Kinyongo "
" Marehemu hakupenda kabisa Sifa au Kusifiwa kitu ambacho kwa wengi Wetu ni Kigumu "
" Marehemu alichukia mno Kuwaonea wengine kwa Wadhifa wake / Ukubwa wake "
" Marehemu amenifundisha Kunyenyekea Kitu ambacho kwa Sisi wenye dhamana ni ngumu "
" Ukiona una Kigugumizi cha kushindwa Kumzungumzia Marehemu jua kuna maana mbili hapo kwamba ama huna Shukran na umejawa Unafiki ndani yako au umeumizwa Kiukweli kutokana na Mema yake yote aliyokuwa akikufanyia "
" Marehemu atufanye Sisi tuliobaki na hasa wenye dhamana hizi Kubadilika Kimatendo ili nasi Siku tukiondoka hapa duniani tuliliwe hivi kama Yeye "

Shikamoo sana na mno January Makamba. Leo nimekuvulia Kofia rasmi kwamba uko vizuri Kichwani na nina uhakika hata Mzee wako Yusuph Makamba kama kuna Mtoto ambaye anajivunia nae basi ni Wewe. Popote ulipo nakuomba endelea na aina hii ya Hekima na Busara uliyonayo na niseme leo hapa kwamba kama ' coming 2025 ' nikisia Chama changu cha CCM kime ' Shortlist ' majina Matatu na Wewe umo basi nina uhakika kwa Uwezo wako mkubwa, uwerevu wako, exposure yako na Malezi yako basi kwa 99% una uwezo wa kuja kuwa Rais wa Tanzania.

Mwenyezi Mungu akusaidie na akusimamie Kaka.

Nawasilisha.
Kampeni mpaka misibani?
 
madongo kwa jiwe na bashite
 
Kwa hiyo mtu akijua kuongea kwa mafumbo anafaa kua rais? If this is the case then waimba taarabu wanafaa zaidi. Kwa kifupi urais sio lelemama and January does not fit to be a president in this country. Amefanya kipi cha maana katika wizara alizopita au hata katika jimbo lake ili umuone anafaa kuwa rais? Kuongea kwa mafumbo ni dalili ya unyonge na uoga na muoga hafai kuwa rais wa nchi.
 
Kwani huyo kaka hakuwa mojawapo ya walokuwa wakifanya propaganda kipindi cha campaign ya uchaguzi mkuu? Yeye, mwigulo na napee?
Je si miongoni mwa walioingilia kati wale walokuwa wakifuatilia urushwaji wa matokeo ya kura na kunyang’anya computer zao pale mlimani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom