Recent content by Dickson j

  1. Dickson j

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Nafsi zilizotelekezwa

    Hakika
  2. Dickson j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mume wangu ana watoto wa nje ya ndoa

    Utafikir anamsaidia kulea
  3. Dickson j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mwamba hasa
  4. Dickson j

    JamiiForums Tanzania Wabunge matajiri wafanyabiashara, wanasimamia Maslahi ya akina nani bungeni?

    Mi naomba ipitishwe sheria mpya kuwa mtu akifikia atua fulani ya utajiri hasiruhusiwe kugombea uongozi wowote serikalini ili wabaki kwenye miradi yao na watakuwa na akili chanya ya kimaendeleo na kwa haki na usalama ✅
  5. Dickson j

    JamiiForums Tanzania Maujanja kwenye simu yako

    Naitaji kujua jinsi ya kutumia picha niliyo iona kwenye status ya mtu mwingine
  6. Dickson j

    JamiiForums Tanzania Tigo rekebisheni mtandao wenu, tangu jana mpaka sasa ni shida sana kuupata

    Itakuwa minala imeenda na mafuriko [emoji848][emoji848][emoji848]
  7. Dickson j

    JamiiForums Tanzania Tigo rekebisheni mtandao wenu, tangu jana mpaka sasa ni shida sana kuupata

    Mm mwenyewe unasoma ila nilio nao karibu wananiambia sipatikani
  8. Dickson j

    JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania mna shida gani simu zinasoma "emergence call"?

    Awa tigo wanarudisha kwenye umasikini aisee
  9. Dickson j

    JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania mna shida gani simu zinasoma "emergence call"?

    Mm shida ni moja napigiwa lakini simu inakuwa haipatikani
  10. Dickson j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wasomi ni wasumbufu alafu Wana mchango mdogo Sana kwenye mahusiano/ndoa

    Umetoa meno zuri sana aisee pongezi kwako na pia niongezee hapo unamuoa mwanamke unaamua kumtafutia kazi ili msaidizane katika majukumu ya familia yenu unaweka mfanyakazi nyumbani ili na yeye apate unafuu wa kazi zake na za nyumbani lakini mwisho wa siku inakua kile alicho kipata yeye ni chake...
  11. Dickson j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki anahitajika

    Unaitaji marafiki wangapi [emoji848]
  12. Dickson j

    JamiiForums Tanzania Hii hapa biashara bila mtaji

    Naye unamuimbisha mpaka aje akuelew wakati mwingine yeye kwenda k/koo ndiyo chance yake kuona jiji utapata tabu sana [emoji848][emoji848][emoji848]
  13. Dickson j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

    Umetisha sana mshikaji na nmekuelewa tusonge mbele kuusaka uchumi wa kati then wa juu yake [emoji122][emoji122][emoji122]
  14. Dickson j

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

    Serikali inatupeleka sana aisee
Back
Top Bottom