Hii hapa biashara bila mtaji

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,807
Habari JF

Mimi kama mwanafunzi wa chuo kikuu, leo hii nimeamua kuwasaidia wanafunzi wenzangu kwa kuwapa mpango mzuri wa biashara.

Usishangae sana, uzuri? Wa mpango huu wa biashara unaweza kuanza bila mtaji kabisa. Yaani ukaanza kwa uwezo wako mzuri wa kufanya mawasiliano kupitia smartphone yako.

Kupitia uwezo wako wa kuongea na kuhamasisha.
Kwanza naanza kwa kukupa tatizo na jinsi ya kusolve.

Twende champion!
Hivi umeshawai kwenda mahali hapa Dar es Salaam, ukakuta hakuna huduma muhimu kama maduka mpaka ukajiuliza hivi hawa watu huwa wananunua wapi nyanya?? Karoti?? Bamia nk??

Nina imani umeshawai kuona jamii ya namna hivyo, mara nyingi maeneo ya hivyo yametawaliwa na high na middle class..yani watu wa hali ya juu na kati wengi ni matajiri..na kuna wale wa tabaka la kati .

Sasa unachotakiwa kufanya wewe ni kusambaza huduma.hakuma kitu anapenda binadamu kama kuonekana wa thamani hata kama hana kitu.

Sasa unaweza kufanya biashara nyingi, ila leo naanza na hizi fast moving product yaani bidhaa zinazotembea na kutumika kila siku.

Usishangae sana.
Hapa unaenda kuanzisha kitu kinaitwa Mobile Genge, au genge la mtandao.

Unachokifanya wewe, ni kwenda nyumba hadi nyumba kuomba order juu ya maemezi ya kesho..

Dili na vitu common kama nyanya, viazi, ndizi, pilipili nk.
Baada ya mtu kukupa order wewe unaenda ilala kuchukua mzigo limited kutokana na watu wali request aisee utapiga pesa balaa. Na hutokuja kupata hasara

Ukimaliza kuwa karibu na wateja wako utaunda kikundi cha whatsap kila mteja atatoa oda yake humu..

Mambo ya kuzingatia
Kila nyumba utakayo toa huduma hakikisha ni nyumba ya kishua kuna fense kali yani kwa madoni, wao wanapenda kuletewa.

Hakikisha unamuelezea mteja wako vizuri akuelewe na ahitaji bidhaa yako usiforce...

Komqa baadae tafuta usafiri wako, ukiwa vizuri nunua toyo unanunua vitu then unatembeza kwa wateja wako wanachagua
.

Naendelea vizuri kwa sasa.
Maoni yote yanaruhusiwa wazeee wa kutukana uwanja ni wenu.
 
Uber eat kwa African Version idea yako iko viable.

Wengi wananunua supermarket ila viko expensive na pia ni processed sio raw.

Kukupa moyo juzi nlkuwa naangalia video ya Mzungu anaeishi bongo kuelezea cost yake akasema ananunua vitu supermarket kwa sababu k/koo sokon ni mbali na hapendi watu wengi.

Tena nkaona comment LinkedIn watu wakawa wanasema wakitoka kazini kupata fresh fruits wanafanya “park and peak”- yaani wanashuka kwenye gari kununua kwenye vile vijibanda vya pembeni vinayouza ndizi na matikiti.

Kwahiyo unaweza anza kidogo then uka scale up, Kuwa na wazo sio shida ila utaweza kutekeleza?

Kinachonishangaza baada ya kuona ile video YouTube nlipata wazo kama hili lako japo ilo lilikuwa software based. Kwahiyo Uko na entrepreneurial Mind tumia kichwa hiyo.

Note: usiingie kwenye biashara bila ya business plan
 
""Note: usiingie kwenye biashara bila ya business plan""

Nimeanza biashara tokea 2014 na nimeanza biashara kubwa tokea 2020.

Sijawahi kuwa na business plan na biashara zangu zinakuwa.

Huwa siamini sanaa Shule kwenye kutekeleza mambo yangu, huwa naamini elimu mtaani na hasa info kutoka kwa watangulizi na vile navyoisoma game.

#YNWA
 
Aisee
Nimekuelewa sana mkuu
 
Sawa, ila nna swali katika biashara zako kuna ambayo umesajili ni Kampuni?
 
""Note: usiingie kwenye biashara bila ya business plan""

Nimeanza biashara tokea 2014 na nimeanza biashara kubwa tokea 2020.

Sijawahi kuwa na business plan na biashara zangu zinakuwa.

Huwa siamini sanaa Shule kwenye kutekeleza mambo yangu, huwa naamini elimu mtaani na hasa info kutoka kwa watangulizi na vile navyoisoma game.

#YNWA
Ka mkubwa umezungumza sahihi. Hayo mengne yanaleta sana urasmu na hofu ya kuanza biashara yanasababishwa na hizo mambo.
Uwekezaji unapaswa kuangalia baadhi ya vitu na kuanza ila ukileta degree na master hutoanza
 
Kusoma biashara ni uongo mkubwa sana, Lect anafundisha MBA wakati yeye hana hata biashara hahah.

Yale mambo yanayofundishwa darasan yapo kwenye biashara ila sio biashara yako ya kuuza accessories k/koo.

Darasan unafundishwa mbinu za kukuza biashara ambayo capital ni Million 100 wakti wewe unaanza biashara ambayo haina mtaji kama OP
 
Habari JF

Mimi kama mwanafunzi wa chuo kikuu, leo hii nimeamua kuwasaidia wanafunzi wenzangu kwa kuwapa mpango mzuri wa biashara.

Usishangae sana, uzuri? Wa mpango huu wa biashara unaweza kuanza bila mtaji kabisa. Yaani ukaanza kwa uwezo wako mzuri wa kufanya mawasiliano kupitia smartphone yako.

Kupitia uwezo wako wa kuongea na kuhamasisha.
Kwanza naanza kwa kukupa tatizo na jinsi ya kusolve.

Twende champion!
Hivi umeshawai kwenda mahali hapa Dar es Salaam, ukakuta hakuna huduma muhimu kama maduka mpaka ukajiuliza hivi hawa watu huwa wananunua wapi nyanya?? Karoti?? Bamia nk??

Nina imani umeshawai kuona jamii ya namna hivyo, mara nyingi maeneo ya hivyo yametawaliwa na high na middle class..yani watu wa hali ya juu na kati wengi ni matajiri..na kuna wale wa tabaka la kati .

Sasa unachotakiwa kufanya wewe ni kusambaza huduma.hakuma kitu anapenda binadamu kama kuonekana wa thamani hata kama hana kitu.

Sasa unaweza kufanya biashara nyingi, ila leo naanza na hizi fast moving product yaani bidhaa zinazotembea na kutumika kila siku.

Usishangae sana.
Hapa unaenda kuanzisha kitu kinaitwa Mobile Genge, au genge la mtandao.

Unachokifanya wewe, ni kwenda nyumba hadi nyumba kuomba order juu ya maemezi ya kesho..

Dili na vitu common kama nyanya, viazi, ndizi, pilipili nk.
Baada ya mtu kukupa order wewe unaenda ilala kuchukua mzigo limited kutokana na watu wali request aisee utapiga pesa balaa. Na hutokuja kupata hasara

Ukimaliza kuwa karibu na wateja wako utaunda kikundi cha whatsap kila mteja atatoa oda yake humu..

Mambo ya kuzingatia
Kila nyumba utakayo toa huduma hakikisha ni nyumba ya kishua kuna fense kali yani kwa madoni, wao wanapenda kuletewa.

Hakikisha unamuelezea mteja wako vizuri akuelewe na ahitaji bidhaa yako usiforce...

Komqa baadae tafuta usafiri wako, ukiwa vizuri nunua toyo unanunua vitu then unatembeza kwa wateja wako wanachagua
.

Naendelea vizuri kwa sasa.
Maoni yote yanaruhusiwa wazeee wa kutukana uwanja ni wenu.
mkuu kwa nini usifanye wewe ili upige mapesa uwe tajiri?
 
wewe unafanya biashara gani
 
nikienda pale oysterbay na masaki nakutana na mlinzi kwanza anaanza kuniwekea vipengele nikitoboa hapo anakuja Dada wa kazi
Naye unamuimbisha mpaka aje akuelew wakati mwingine yeye kwenda k/koo ndiyo chance yake kuona jiji utapata tabu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom