Recent content by dickmwa

  1. dickmwa

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Habari mh, mtaalam wa sim..Nina sim aina ya Nokia asha201 tatizo lake ilizima gafla tuu... Baadae nikaipeleka kwa fundi akaiflashi ikawaka sasa nikanunua na betr mpya sasa tatizo limerudia tena hata kama betr inachaji haiwaki au ionyeshe MwaNgA kisha inazima moja kwa moja tatizo n nn mkuu
  2. dickmwa

    US 'mother of all bombs' killed 90 Isis militants, say Afghan officials

    Hilo bomb LA Moab ni kubwa na linaharibu sehem kubw sana. Embu assume. Lina uzito wa tani 11... Pressure yake inauwezo wa kumsambaratisha mtu akawa vipande vipande
  3. dickmwa

    Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo

    Mwambie hupendi hiyo tabia ila sio umwambia kwa kukurupuka nooo.., tafuta mda tokeni ata out kidogo mkae mahali.... Na hakikisha ana furaha na jaribu kumwelewesja
  4. dickmwa

    Hivi kuna watu kweli wamenunua hisa za Vodacom?

    Hisa zinalipa na ni vizuri kuwekeza katika makampuni makubwa kwa mafanikio ya baadae
  5. dickmwa

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    You're total wrong omba toba kwa MUNGU wako ....
  6. dickmwa

    Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Niko arusha namiaka 19
Back
Top Bottom