Recent content by Dickmadegwa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuomba kibali cha kazi Serikalini kwa mara ya pili upoje?

    Wadau naombe kuuliza Taratibu za mtu kupata kazi Serikalini upoje endapo uliacha kazi kutokana na matatizo mfano, ugonjwa. Je, ukiitwa kwenye usaili Serikalini waweza kwenda? Je, inawezekana ukaomba urudishwe karika kituo chako cha awali? Pia je utaratibu wa kifuata ili upate kibali cha...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mbinu 4 za kuomba sex kwa mwanamke bila kuwa naye kimahusiano (friends with benefit)

    Na wao wapo humu wanasoma Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Glass mask
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kibali cha kuomba tena kazi utumishi

    Sawa Kaka na asante, but ofisi yake ipo Dodoma sehemu gani na mchakato unaweza kuchukua siku ngapi?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ukikopa benki (as mtumishi wa serikal) halafu ukaacha kazi, je unaweza ukafuatiliwa?

    Mkuu ukijibiwa nami nitakuwa nimeoata jibu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutafuta chuo

    Wakuu naombeni kuulizia je ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa diploma ya socialogy au social work kwa e-learning (distance learning). Msaada please.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Ndio mkuu mimi nina tatizo
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kibali cha kuomba tena kazi utumishi

    Wakuu habari? Naomba kuulizia nawezaje kupata kibali cha kuweza kuomba tena kazi serikalini kwakuwa niliacha kazi kutokana na matatizo je naweza kupata wapi kibali? Kila halmashauri niombayo kazi wananiambia niombe kibali kwa katibu mkuu kiongozi ingalipo sijui ofisi yake ipo wapi? Na anuani...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kesi ya madai

    Ok brother but naweza dai fidia kiasi gani? Pia imepita miezi miwili hapo.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nafanya kazi saa 24 bila kupumzika, nikimshitaki bosi wangu hatanifukuza?

    Naishi nje nimepanga ila hapa kazini kuna chumba cha kulala.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nafanya kazi saa 24 bila kupumzika, nikimshitaki bosi wangu hatanifukuza?

    Nimekutumia job description
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nafanya kazi saa 24 bila kupumzika, nikimshitaki bosi wangu hatanifukuza?

    Upo sahihi kusema hivyo lakini mkataba umeeleza kama nilivyokwambia Natakiwa niwe responsible 24/7 bila mapumziko , weekend wala holiday Natakiwa niwe kituoni masaa yote.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kesi ya madai

    Sijajua
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nafanya kazi saa 24 bila kupumzika, nikimshitaki bosi wangu hatanifukuza?

    Sorry ni teacher not teachers
Back
Top Bottom