Hivi ukikopa benki (as mtumishi wa serikal) halafu ukaacha kazi, je unaweza ukafuatiliwa?


ttobo

ttobo

Member
Joined
Nov 18, 2017
Messages
5
Likes
7
Points
5
ttobo

ttobo

Member
Joined Nov 18, 2017
5 7 5
Hivi wakuu ukikopa benki ukiwa mfanyakazi wa serikali halafu ukaacha kazi vipi utatafutwa??
 
mmash

mmash

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
397
Likes
294
Points
80
mmash

mmash

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2013
397 294 80
Cjui mkuu,ngoja wataalam wengine waje
 
Sijuti

Sijuti

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
2,591
Likes
2,052
Points
280
Sijuti

Sijuti

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2014
2,591 2,052 280
Usipofuatwa ITAPENDEZA ZAIDI
 
B

Bimloz

New Member
Joined
Nov 14, 2017
Messages
2
Likes
1
Points
3
B

Bimloz

New Member
Joined Nov 14, 2017
2 1 3
Na mtu akikopa kwenye hizi microfinance kama bayport, platinum,na zile zngne ila sio bank afu akacha kazi au kubadil kazi kukimbia makato inakuaje atafuatiliwa
 
S

siti ya mbele

Senior Member
Joined
May 3, 2017
Messages
184
Likes
137
Points
60
S

siti ya mbele

Senior Member
Joined May 3, 2017
184 137 60
Sasa akikopa mpunga mrefu kuliko mafao yake inakuwaje hapo?
Mkuu kuna vigezo vya kupewa ndio maana wanaomba barua ya kuthibitishwa kazini ,miaka uliyofanya kazi na kiwango chako cha mshahara kwa mwezi kifupi huwezi pata mkopo unaozidi mafao yako
 
MJINI CHAI

MJINI CHAI

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Messages
1,967
Likes
702
Points
280
MJINI CHAI

MJINI CHAI

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2010
1,967 702 280
Waandikie barua ya maombi ya kusitisha marejesho ya Mkopo kwa kuwa makubaliano yalikuwa marejesho yapitie kwenye Mshahara na sasa huna kaziwasubiri mpaka Utakapopata kazi nyingine...............Barua yako ambatanisha na barua ya Kuachishwa/ Kufukuzwa kazi..............Nadhani ITAPENDEZA.............!!!! maswala ya Akiba yako ya Uzeeni siyo makubaliano yenu................!!!!
 
mahondaw

mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
16,849
Likes
25,617
Points
280
mahondaw

mahondaw

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
16,849 25,617 280
Atalipa mkurugenzi alikudhamini kwa kufatilia mafao yako katika mifuko ya jamii


Cc Smart911
 
mahondaw

mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
16,849
Likes
25,617
Points
280
mahondaw

mahondaw

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
16,849 25,617 280
Mafao si mpk 60 years?
Nadhani ni Zile ambazo wameshakata , si wanasema atalipa mkurugenzi make yeye ndo anakudhamini yeye atatoa wapi sasa?? Nadhani ni hivo Japo Sina uhakika sana


Cc Smart911
 
M

MACHONDELA

Member
Joined
May 7, 2018
Messages
34
Likes
19
Points
15
M

MACHONDELA

Member
Joined May 7, 2018
34 19 15
Mkuu kuna vigezo vya kupewa ndio maana wanaomba barua ya kuthibitishwa kazini ,miaka uliyofanya kazi na kiwango chako cha mshahara kwa mwezi kifupi huwezi pata mkopo unaozidi mafao yako
Mkuu acha uongo,mimi nili fanya kaz miezi mi 4 nikachukua 14m Ina maana Mafao yalifika?
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
20,572
Likes
19,077
Points
280
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
20,572 19,077 280
Ukiacha kazi unatafutwa ndiyo...

Ila ukiachishwa kazi, italipa serikali kupitia mafao yako...


Cc: mahondaw
 
dan87

dan87

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Messages
339
Likes
120
Points
60
dan87

dan87

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2014
339 120 60
Swali LA nyongeza bima ambayo hukatwa inafanya kazi wakati gani?
 
bwii

bwii

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2014
Messages
892
Likes
1,102
Points
180
bwii

bwii

JF-Expert Member
Joined May 24, 2014
892 1,102 180
Kwan mikopo haina bima!!?
 

Forum statistics

Threads 1,213,681
Members 462,214
Posts 28,485,674