Recent content by dickkami04

  1. dickkami04

    Mecca ndio mji bora duniani

    Hujaeleweka bado, ukiitetea hiyo miji kwa lipi??? Weka wazi mada ueleweke!!
  2. dickkami04

    Hadithi ya Abunuasi

    Hadithi yenye funzo kubwa
  3. dickkami04

    Hii ndio elimu inayotolewa na International schools

    Mkuu mbona unakomaa sana, au na wewe ni mmiliki wa shule za hivi?
  4. dickkami04

    North Korea yapangua hoja za Marekani kwenye UN nimewaelewa sana

    Maneno mengi na mikwara kibao ila vita ikianza nyie mnaomvimbisha kichwa Rocket man kiduku, ghafla mtaanza kumlaumu USA.
  5. dickkami04

    North Korea yapangua hoja za Marekani kwenye UN nimewaelewa sana

    Mbona hata wewe ni mwanaume lakini yupo mwanaume mwenzio mwingine unamuita Kaka ili hali yeye anakuita wewe kwa jina lako tu?
  6. dickkami04

    North Korea yapangua hoja za Marekani kwenye UN nimewaelewa sana

    Kuzitumia siyo shida, shida ni ziko ngapi? Na zina uwezo gani?
  7. dickkami04

    Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

    Weee, hajamshinda Ummy yule wa Afya
  8. dickkami04

    Jaji mkuu wa Kenya, David Maraga akaribishwa kwa shangwe mkutanoni Dar es Salaam, Prof. Juma ampongeza

    Kwani Jecha naye alifutia mahakamani? Akiwa kama jaji? Kwa kesi namba ngapi? Iliyofunguliwa kwenye mahakama yake na akina nani? Kwa mujibu wa ibara ipi ya Katiba yoyote ya Tz au Z'bar? Au kwa mujibu wa sheria ipi halali? Ebu acheni kumfananisha CJ Maraga na vitu vya kipuuzi!
  9. dickkami04

    Magufuli utatoa wapi pesa kutekeleza hii miradi?

    Sisi Waafrika ni watu wa ajabu sana. Badala ya kujenga mifumo na Taasisi bora na imara, ikiwemo katiba bora, sisi tuko busy kujenga pesonalities za viongozi! And that is the problem of we Africans! Huwa hatuwazi what will happen after that leader is gone! Yani badala ya kuwaza Tanzania...
  10. dickkami04

    Mgogoro wa Qatar in vita ya Waislamu dhidi ya Washirika wa Marekani

    Yani chuki nyingine bhana, ni zaidi ya gubu! Sasa hapo taifa la Israel linaingiaje katika mjadala huu, au ndo chuki dhidi ya waliofanikiwa zaidi yako??
  11. dickkami04

    Mashemeji wa kike ni jipu

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwahiyo mkuu, unataka kusema wanawake hawa hawana akili?
  12. dickkami04

    BBC: Korea Kaskazini yalaumiwa kwa kuonyesha silaha bandia

    Yaani karibia kila kitu ni bandia
Back
Top Bottom