BBC: Korea Kaskazini yalaumiwa kwa kuonyesha silaha bandia

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
upload_2017-4-28_15-1-56.gif

upload_2017-4-28_15-1-56.gif
upload_2017-4-28_15-1-56.gif
upload_2017-4-28_15-1-56.gif
upload_2017-4-28_15-1-56.gif
upload_2017-4-28_15-1-56.gif
upload_2017-4-28_15-1-56.gif
upload_2017-4-28_15-1-56.gif
upload_2017-4-28_15-1-56.gif
upload_2017-4-28_15-1-56.gif
upload_2017-4-28_15-1-56.gif
upload_2017-4-28_15-1-56.gif

_95805573_nk_parade_tv_gettyimages-668666494.jpg
HakiGETTY IMAGES
ImageMaonyesho ya kijeshi ya Korea Kaskazini yalionyeshwa kote duniani
Korea kaskazini inaluamiwa kwa kuonyesha silaha bandia katika maonyesho ya hivi majuzi ya ubabe wake wa kijeshi.

Afisa wa zamani wa masuala ya ujasusi anasemna baadhi ya bunduki na makombora yaliyotumiwa kwenye maonyesho hayo yalikuw bandia.

Michael Pregent alikiambia kituo cha runinga cha Fox kuwa baadhi ya bunduki zilizokuwa kwenye maonyesho hayo zilikuwa ni za kujekesha
Lakini maonyesho kama hayo kuonyesha ubabe wa kijeshi yametumiwa kwa miongo kadha.

upload_2017-4-28_15-1-56.gif
HakiGETTY IMAGES
ImageMaonyesho ya kijeshi mjini Pyongyang
Kwa sasa msukosuko ni mkubwa kati ya Marekani na Korea Kaskazini.

Hii ni baada ya rais wa Marekani kuapa kuwa ni lazima atakabiliana na tisho la Korea Kaskazini.

"Sio kuwa Korea kaskazini inafikiri kuwa itashinda Marekani lakini kile itafanya ikiwa itashambuliwa," bwa Pregent alisema.

upload_2017-4-28_15-1-56.gif
HakiAFP/GETTY IMAGES
ImageWanajeshi wa Korea Kaskazini
Historia ya silaha bandia
upload_2017-4-28_15-1-56.gif
HakiNATIONAL ARCHIVES
ImageVifaru bandia vilitumiwa na Uingereza wakati wa vita vya pili vya dunia kuonyesha ubabe wa kijeshi
Silaha hizi bandia zilitengenezwa kukwepa mashambulizi ya angani na kuwachanganya marubani ya jeshi kushambulia vifaru bandia baada ya vifaru halali

Wasani ya jeshi la Ufaransa nao walichora mito bandia na mitaro ili kuwachanganya marubani wa ndege za vita
Ujanja kama huo pia ulitumiwa wakati wa vita vya pili vya Dunia

upload_2017-4-28_15-1-56.gif
HakiNATIONAL ARCHIVES
ImageVifaru bandia
upload_2017-4-28_15-1-56.gif
HakiNATIONAL ARCHIVES
ImageMruka na mwavuli bandia wakati wa vita vya pili vya dunia
Miongo kadha kabla miti ilitumika kupigana katika vita vya wenyewe nchini Marekani
Miti hii ilipakwa rangi hadi kifanana na silaha ya kurusha makombora.

Lengo lilikuwa ni kuwachanganya maadui kuhusu ni wapi kulikuwa na adui.

upload_2017-4-28_15-1-56.gif
HakiCORBIS/GETTY IMAGES
ImageBunduki bandia za miti
Aina hii ya silaha bandia zilitumika karne za 18 na 19

Picha hii inaonyesha wanajeshi wa Ujerumani wakikimbia ndani ya vifaru bandia miaka ya 1920

upload_2017-4-28_15-1-56.gif
HakiGETTY IMAGES/HULTON ARCHIVE
ImageWanajeshi wa Ujerumani wakikimbia ndani ya vifaru bandia
 
Attachments

  • upload_2017-4-28_15-1-56.gif
    upload_2017-4-28_15-1-56.gif
    51 bytes · Views: 46
  • upload_2017-4-28_15-1-56.gif
    upload_2017-4-28_15-1-56.gif
    51 bytes · Views: 42
  • upload_2017-4-28_15-1-56.gif
    upload_2017-4-28_15-1-56.gif
    51 bytes · Views: 41
  • upload_2017-4-28_15-1-56.gif
    upload_2017-4-28_15-1-56.gif
    51 bytes · Views: 49
Usisikie sana habari za vyombo vya magharibi ni propaganda sana hasa kwa nchi amabazo hazipataii na za kwao. Kama N.Korea angekua dhaifu angeisha pigwa za kale kama wamarekani wanavyo fanya huko mashariki ya kati.
Trump sasa ana mlilia mchina amsaidie
 
Jamaa waongo sana mfano huku kwetu Africa kila kitu kibaya kipo Africa lakini kuna mambo mazuri pia hawasemi.
 
View attachment 502183
View attachment 502184 View attachment 502185 View attachment 502186 View attachment 502187 View attachment 502188 View attachment 502189 View attachment 502190 View attachment 502191 View attachment 502198 View attachment 502197 View attachment 502195
_95805573_nk_parade_tv_gettyimages-668666494.jpg
HakiGETTY IMAGES
ImageMaonyesho ya kijeshi ya Korea Kaskazini yalionyeshwa kote duniani
Korea kaskazini inaluamiwa kwa kuonyesha silaha bandia katika maonyesho ya hivi majuzi ya ubabe wake wa kijeshi.

Afisa wa zamani wa masuala ya ujasusi anasemna baadhi ya bunduki na makombora yaliyotumiwa kwenye maonyesho hayo yalikuw bandia.

Michael Pregent alikiambia kituo cha runinga cha Fox kuwa baadhi ya bunduki zilizokuwa kwenye maonyesho hayo zilikuwa ni za kujekesha
Lakini maonyesho kama hayo kuonyesha ubabe wa kijeshi yametumiwa kwa miongo kadha.

View attachment 502183HakiGETTY IMAGES
ImageMaonyesho ya kijeshi mjini Pyongyang
Kwa sasa msukosuko ni mkubwa kati ya Marekani na Korea Kaskazini.

Hii ni baada ya rais wa Marekani kuapa kuwa ni lazima atakabiliana na tisho la Korea Kaskazini.

"Sio kuwa Korea kaskazini inafikiri kuwa itashinda Marekani lakini kile itafanya ikiwa itashambuliwa," bwa Pregent alisema.

View attachment 502184HakiAFP/GETTY IMAGES
ImageWanajeshi wa Korea Kaskazini
Historia ya silaha bandia
View attachment 502185HakiNATIONAL ARCHIVES
ImageVifaru bandia vilitumiwa na Uingereza wakati wa vita vya pili vya dunia kuonyesha ubabe wa kijeshi
Silaha hizi bandia zilitengenezwa kukwepa mashambulizi ya angani na kuwachanganya marubani ya jeshi kushambulia vifaru bandia baada ya vifaru halali

Wasani ya jeshi la Ufaransa nao walichora mito bandia na mitaro ili kuwachanganya marubani wa ndege za vita
Ujanja kama huo pia ulitumiwa wakati wa vita vya pili vya Dunia

View attachment 502186HakiNATIONAL ARCHIVES
ImageVifaru bandia
View attachment 502191HakiNATIONAL ARCHIVES
ImageMruka na mwavuli bandia wakati wa vita vya pili vya dunia
Miongo kadha kabla miti ilitumika kupigana katika vita vya wenyewe nchini Marekani
Miti hii ilipakwa rangi hadi kifanana na silaha ya kurusha makombora.

Lengo lilikuwa ni kuwachanganya maadui kuhusu ni wapi kulikuwa na adui.

View attachment 502187HakiCORBIS/GETTY IMAGES
ImageBunduki bandia za miti
Aina hii ya silaha bandia zilitumika karne za 18 na 19

Picha hii inaonyesha wanajeshi wa Ujerumani wakikimbia ndani ya vifaru bandia miaka ya 1920

View attachment 502188HakiGETTY IMAGES/HULTON ARCHIVE
ImageWanajeshi wa Ujerumani wakikimbia ndani ya vifaru bandia
Isije ikawa marekani nao wanajenga mnara bandia wa kujikinga na makombora ya korea kaskazini
 
Wanacholalamika ni kuwa wanadanganywa, na watadanganywa Wakati WA Vita na kujikuta wanashambulia vitu bandia huku wao wakitandikwa na vitu halisi!
 
Back
Top Bottom