Recent content by dickkalela

  1. D

    JamiiForums Tanzania PhD ya Dkt. Rais Magufuli iko sahihi, uthibitisho huu hapa

    Kwa kifupi ni kwamba, Raisi John Magufuli alianza masomo yake ya PHD (Chemistry) pale Chuo Kikuu cha DSM mwaka 2006 na kuhitimu kwa ufaulu mzuri mwaka 2009. Hapo hakuna blaa blaa. Jamaa ni mzuri sana darasani hasa somo hilo la Kemia. Pigeni porojo mambo mengine lakini kwa darasani achana kabisa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania #FreeMaxenceMelo: Tukibaki kimya sote tumekwisha

    Wewe mwana JF, unayejiita A JUSTMAN, kwanini una wasiwasi kwamba taarifa za wana JF zikifika polisi wakosoaji watakuwa wamenyimwa haki yao ya kutoa maoni yao? Ukweli ni kwamba kukosoa sio makosa na kwahiyo wakosoaji hawatakamatwa. Tatizo ni kwamba baadhi wana JF hasa wakosoaji wa serikalinya...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa apongeza agizo la Rais Magufuli kuzuia mikutano ya nje na kuruhusu ya ndani

    Mimi nawashangaa sana wana CDM hasa mnaotupia thread zenu humu mkijidai kuwa chama kinaimarika kwa kumtegemea EL. Naomba mfahamu kuwa huyu jamaa ni mjanja sana. Tambua kwamba; (1) hakuihama CCM kwa mapenzi yake, ila kwa chuki yankuenguliwa kuwnia ukuu wa nchi. (2) hakujiunga na CDM kwa mapenzi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto mchanga kulia sana usiku wa manane

    Ndugu Jerrymsigwa, Pole sana kwa mtoto wako kuwa analia usiku wa manane. Hapa kuna moja ya mambo haya mawili tu. 1. Labda mtoto hashibi. Kuna mwana JF mmoja ametoa sababu hii ambayo hata mimi naungana naye. Jaribuni kuhakikisha kuwa ananyonya maziwa ya mama na kushiba kabisa kabla hajalala...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

    Ndugu nusuhela, salaam. Pole sana kwa kudikiri kuwa Mungu hayupo. Kweli umejaribi kuweka hoja ambazo kwa hizo mawazo yako yamejengwa. Lakini hoja hizo ni hafifu sana, hazitoshi kujenga imani au uhakika kwamba Mungu kweli hayupo. Ukweli ni kwamba Mungu yupo kabisa. Kwa kifupi ni kwamba; 1...
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Hataki tupate mtoto, sijui ana maana gani

    Mrs Fiance, pole ila hujaeleweka. Heading umeandika ushauri, kwa maana ya kuomba ushauri kwa wana JF, lakini maelezo yako tayari yana majibu kwamba unaona umuache utafute mwanaume mwingine. Sasa sisi tukushauri nini?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Ma-MC 10 kuongoza harusi ya Masanja Mkandamizaji

    Masanja hongera mtumishi wa Mungu. Mke mwema mtu hupewa na Mungu na uzuri wa mwanamke ni tabia wala sio urembo! Ninakutakia sherehe njema ya ndoa yako na maisha yenye mafanikio wewe na mkeo.
  8. D

    JamiiForums Tanzania CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Hapa wana JF, nafikiri hakuna haja ya kulumbana au kubishana. Ukweli ni kwamba wagombea wote wa nafasi ya U rais waende kwenye huo mdahalo. Huko ndiko tutaona nani anajua kujieleza, nani ana hoja za msingi, na nani ni pumba.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Kuanzia leo nitatoa kazi zilizofanyika kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita

    So what is this Mr. Magufuli. Huu nimwajibu wako kwa nafasi uliyopewa na kwa fedha yetu walipa kodi. Kutekeleza tunulichotakiwa kufanya baada ya kupewa fungu la fedha (as per budget) nayo iwe ni issue? Unatakiwa kwanza ujue kuwa fedha uliyopewa ni ndogo kuliko uliyopaswa kuipewa kama mngekuwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa hoja/shida ya wana-UKAWA

    Ni kweli kuwa wa Tanzania walio wengi wamechoshwa na utawala wa Ma CCM kwasababu yame prove failure. Kila leo yanayuletea maneno yenye matumaini lakini hakuna lolote. Awamu hii ya JK ilianza na maisha bora kwa kila mtanzania, ....mwisho wa siku hakuna lolote. Mara, kilimo kwanza,.....nayo hakuna...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Mchungaji Mtikila kwa Edward Lowassa

    Sasa wewe asadsyria3 ndio umeamua kuutangazia umma wa wa Tanzania kuwa ma ccm wote ni majinga kiasi hicho? Kwamba mnaushahidi EL ni fisada kama ulivyoorodhesha na kwahiyo mna mpango wa kuweka pingamizi ili asigombee ukuu wa kaya. Hiiii! Kwamba mna ushahidi ni fisadi, kwanini hamkumwajinisha...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Pinda avunja ukimya alivyokatwa Dodoma

    Hahaaa! Issue ya mtu kuhama chama kwenda kwingine isipuuzwe kama mtu anazo sababu za kuridhisha. Kwahiyo isichukuliwe kuwa mtu kuhama chama alichokuwa zamani na kujiunga na kingine eti akishindwa na huko anaweza akahama nchi. Haya ni mawazo mgando na inasikitisha kuwa yametolewa na Waziri Mkuu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Lipumba: CCM ina wagombea wawili, Lowassa na Magufuli

    Makamanda, mimi namuunga mkono Pro. lipumba kwamba CCM inawagombea wawili. Nafikiri makamanda tunahitaji kutulia na kufikiria kwa kina tunapotaka kufanya maamuzi. Hata tunaposoma threads za wenzetu humu JF tunahitaji kutafakari kwanza. Nasema hivi kwasababu naona wengi wanajibu kishabiki tu bila...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Zitto na Hamphrey Polepole wauponda UKAWA

    Nagikiri makamanda tunahitaji kutulia na kufikiria kwa kina tunapotaka kufanya maamuzi. Hata tunaposoma threads za wenzetu humu JF tunahitaji kutafakari kwanza. Nasema hivi kwasababu naona wengi wanajibu kishabiki tu bila kuangalia ukweli wa mambo. Mimi ni kamanda wa Chadema na Katiba ya chama...
Back
Top Bottom