Ushauri: Hataki tupate mtoto, sijui ana maana gani

Dada, shtuka. Huyo hakupendi, kuna mtu mwingine anafikiriwa hapo na anajitahidi kuwalinganisha, kumbuka siku hazigandi, utatumika halafu uachwe, jamaa achukue kitu kipya. Nakushauri ujaribu kumwambia kuwa kama hayuko tayri kwa yote hayo mawili; ndoa au mtoto muachane, atasemaje, ukiona hajashtuka, utatakiwa kushtuka wewe.
 
Yani mtu una mashaka naye 100 ila bado unataka umzalie mtoto, yani wewe binti ndo unamuomba mzae mtoto. ...... wewe binti wewe, umejiandaa vizuri lakini kuwa single mother? Kesho na Kesho kutwa utaanza kuplay victim oooh kanitelekeza, sijui kafanyaje. Usikurupuke please
 
mm ni msichana Nina mpemzi ambae nimedumu nae mda mrefu ila tunakaa kila MTU kivyake. Sasa mm kwa kweli napenda niwe na Mtoto Sana. nikamuomba mwenzangu tuzae Mtoto. cha kushangaza analeta sababu hata hazina maana. Mara ohooo. nakuonea huruma wakati wa kuzaa, Mara oho mda bado,Ananionea huruma wakati mimba nabeba mm kweli.sina Tabia ya kuchepuka tu na nimuaminifu kwake asilimia 100%.Laiti ningekuwa nachepuka ningeshampata pengine mwanaume ambae tunaweza tukafanya mambo ya maana. Kama kuoana na kupata Mtoto.maana huyu mpenzi Wangu kwa Tabia zake hizi. nakuwa na mashaka nae.Kwa mfano mm ninaweza nikaweka pic zake instagrm ,na ninazo. ila yeye kuweka pic yangu moja tu ilikuwa ni ishu.mpaka tukagombana.kiukweli nlikiwa na imani nae Sasa inaanza kupotea.Na naona anataka nianze japo mazoea na wanaume maana yeye anaeeza asinioe kwa hiyo. hata nikimpata mwingine nimuache Kama alivyo.NIMEKUWA MWAMINIFU KWAKE MPAKA NAJISHANGAA.Na ni mbinafsi hatari, mpaka nasema huyu kweli atanifaa.?Hata kutambulishana rasmi hataki. japo wazazi wanafahamu ile ya juujuu tu kwamba tunamahusiano.Naina Kama atanipotezea mda tu.
hamia kwangu nikukunje vilivyo had 2pate mtoto kumtunza jukumu langu karibu sana.
 
Dada, shtuka. Huyo hakupendi, kuna mtu mwingine anafikiriwa hapo na anajitahidi kuwalinganisha, kumbuka siku hazigandi, utatumika halafu uachwe, jamaa achukue kitu kipya. Nakushauri ujaribu kumwambia kuwa kama hayuko tayri kwa yote hayo mawili; ndoa au mtoto muachane, atasemaje, ukiona hajashtuka, utatakiwa kushtuka wewe.
Asante kwa ushauri naufanyia kazi
 
Yani mtu una mashaka naye 100 ila bado unataka umzalie mtoto, yani wewe binti ndo unamuomba mzae mtoto. ...... wewe binti wewe, umejiandaa vizuri lakini kuwa single mother? Kesho na Kesho kutwa utaanza kuplay victim oooh kanitelekeza, sijui kafanyaje. Usikurupuke please

Akikua ndiyo atakuelewa, hapa anatumia akili za kitamthilia, kinstagram, Ki-baby
 
Asante kwa ushauri
 
Akikua ndiyo atakuelewa, hapa anatumia akili za kitamthilia, kinstagram, Ki-baby
Yani hizo red flags tu anazozitoa ni hadi anajiuliza "je huyu atanifaa", ila still yeye anataka na mtoto juu... kuna vitu tunavitamani but sio lazima tuwe navyo Kwa wakati tunaotaka. Ashukuru huyo kaka hataki kumtengeneza single mother mwingine. Nahisi bado ni mtoto huyu
 
Dah, Mahusiano ni magumu sana, pengine jamaa ana reason za msingi sana na hapendi kukwambia ila ww ndo ivo tena unahisi hupendwi . Fanya uchunguzi wa kina utajua ukweli
 
Mrs Fiance, pole ila hujaeleweka.
Heading umeandika ushauri, kwa maana ya kuomba ushauri kwa wana JF, lakini maelezo yako tayari yana majibu kwamba unaona umuache utafute mwanaume mwingine. Sasa sisi tukushauri nini?
 
mm ni msichana Nina mpemzi ambae nimedumu nae mda mrefu ila tunakaa kila MTU kivyake. Sasa mm kwa kweli napenda niwe na Mtoto Sana. nikamuomba mwenzangu tuzae Mtoto. cha kushangaza analeta sababu hata hazina maana. Mara ohooo. nakuonea huruma wakati wa kuzaa, Mara oho mda bado,Ananionea huruma wakati mimba nabeba mm kweli.sina Tabia ya kuchepuka tu na nimuaminifu kwake asilimia 100%.Laiti ningekuwa nachepuka ningeshampata pengine mwanaume ambae tunaweza tukafanya mambo ya maana. Kama kuoana na kupata Mtoto.maana huyu mpenzi Wangu kwa Tabia zake hizi. nakuwa na mashaka nae.Kwa mfano mm ninaweza nikaweka pic zake instagrm ,na ninazo. ila yeye kuweka pic yangu moja tu ilikuwa ni ishu.mpaka tukagombana.kiukweli nlikiwa na imani nae Sasa inaanza kupotea.Na naona anataka nianze japo mazoea na wanaume maana yeye anaeeza asinioe kwa hiyo. hata nikimpata mwingine nimuache Kama alivyo.NIMEKUWA MWAMINIFU KWAKE MPAKA NAJISHANGAA.Na ni mbinafsi hatari, mpaka nasema huyu kweli atanifaa.?Hata kutambulishana rasmi hataki. japo wazazi wanafahamu ile ya juujuu tu kwamba tunamahusiano.Naina Kama atanipotezea mda tu.
picha mkuu maneno mengi hayana tija.
 
Back
Top Bottom