Recent content by diana chumbikino

 1. diana chumbikino

  TANCOAL watekeleza agizo la Waziri Biteko, wakabidhi tani 30 za makaa ya mawe

  Kampuni ya uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe Tancoal imetekekeleza ombi la waziri wa madini Doto Biteko kwa kukabidhi tani 30 za makaa ya mawe,juu ya kumsaidia mzee Reuben Mtitu maarufu kwa jina la mzee Kisangani wa Kijiji cha Mkiu wilayani Ludewa Mkoani Njombe kutokana na changamoto ya...
 2. diana chumbikino

  Mashine za kutafsiri kazi za Ubongo

  WANASAYANSI wameweza kuongeza utaalamu zaidi wa kutambua jinsi binadamu anavyozungumza kwa kuangalia mfumo wa ubongo wake. Wataalamu hao wameweza kuhamisha mfumo wa ubongo kwa jinsi sentensi zinavyoundwa katika uhalisia na kupata kiwango cha makosa cha asilimia tatu katika neno. Awali mashine...
 3. diana chumbikino

  Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2020

  MAFANIKIO ya kishindo, kujivunia na ya kihistoria yanayojumuisha maeneo 23 yamepatikana katika Serikali ya Awamu ya Tano katika kipindi kifupi cha miaka minne ya uongozi wa Rais John Magufuli. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango (pichani) alielezea mafanikio hayo juzi wakati...
 4. diana chumbikino

  Umeme wa megawati 80 kuanza mwakani

  BODI ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) inatarajia kupokea umeme wa mradi wa maporomoko ya Mto Kagera ya Rusumo, unaojengwa katika Kata Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera ifikapo mwaka 2021. Mradi huo utakapoanza kutekelezwa, utasaidia kutatua changamoto za umeme nchini. Mradi huo...
 5. diana chumbikino

  BoT yaja na mfumo bora wa uwekezaji taasisi, mashirika

  BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imesema imeandaa mfumo bora wa kuziwezesha taasisi binafsi na mashirika ya umma kuwekeza kwa faida badala ya kupata hasara katika shughuli za biashara na uwekezaji kwenye jamii. Akizungumza wakati wa semina ya waandishi wa habari za uchumi na biashara, Meneja wa...
 6. diana chumbikino

  Mitambo ya viatu Magereza yawasili

  AWAMU ya kwanza ya mitambo ya Kampuni ya Kutengeneza Viatu ya Jeshi la Magereza imeshawasili nchini kutoka nchini Italia. Hayo yamebainishwa na Msemaji wa Jeshi la Magereza nchini, Amina Kavirondo alipozungumza na HabariLEO. Kavirondo amesema makontena 15 kati ya 80 ya mitambo hiyo yaliwasili...
 7. diana chumbikino

  Serikali kuondoa changamoto zote uwekezaji

  SERIKALI itaendelea kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji na kuondoa changamoto zote zinazokwamisha sekta ya uwekezaji nchini. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hayo juzi alipotembelea Kiwanda cha Saruji Simba jijini Tanga ambapo alizungumza na uongozi pamoja na wafanyakazi wa kiwanda hicho...
 8. diana chumbikino

  Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

  MSOMI na mwanamajumui wa Afrika (Pan-Afranist), Profesa Patrick Lumumba amesema Rais Dk John Magufuli ni mfano wa kuigwa kutokana na uongozi wake wa kupigania rasilimali za nchi ikiwemo madini, kujenga nidhamu ya utumishi na kuimarisha uchumi. Amesema Rais Magufuli ameweza kupambana vyema na...
 9. diana chumbikino

  Madalali wa nyumba, viwanja kuwa na leseni

  SERIKALI imetoa onyo kwa madalali na waendesha minada wote nchini, wanaoendesha shughuli hizo bila ya kuwa na leseni, kuwa kuanzia sasa atakayebainika hatua kali zitachuliwa dhidi yake. Madalali hao ni wa nyumba, viwanja, mahakama, usafiri na magari na kampuni zinazoendesha minada. Pamoja na...
 10. diana chumbikino

  TANESCO yakarabati vituo 9 kupoza umeme

  SHIRIKA la Umeme Tanzania(Tanesco) limepata Euro milioni 139 kwa ajili ya mradi wa ukarabati wa vituo tisa vya kupoza umeme sambamba na kujenga mfumo wa kisasa wa kudhibiti umeme, ambao utakuwa na uwezo wa kutambua tatizo la kukatika umeme lilipoanzia na kufanyiwa kazi mapema. Hayo...
 11. diana chumbikino

  Ujumbe maalum kwa maaskofu na waumini wa KKKT

  Kwa muda mrefu nimekuwa katika shuhuda kwa watu, ndani na nje ya nchi kuhusu mwenendo wa kanisa letu, viongozi wetu katika kanisa na hata kuhubiri mambo ambayo kwayo, KKKT limelelewa miaka mingi iliyopita. Sishangai mabadiliko ndani ya kanisa, ila mabadiliko yanapokiuka misingi ya dini, imani...
 12. diana chumbikino

  Barabara za mzunguko Dodoma kujengwa kwa miezi 36

  Ujenzi wa barabara za mzunguko katika Jiji la Dodoma zenye urefu wa kilomita 112.3 utafanyika kwa miezi 36 huku Sh17 bilioni zikitengwa kuwalipa wananchi fidia. Kiasi cha Sh494 bilioni za ujenzi wa barabara hizo kitatolewa na Benki ya Maendeleo ya Afrika na Serikali ya Tanzania. Akizindua...
 13. diana chumbikino

  SADC Wapinga Mkataba kutouza Twiga, Tembo

  NCHI za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimepinga Mkataba wa Kudhibiti Biashara ya Kimataifa ya Kuhifadhi Mimea na Wanyamapori walio hatarini kutoweka (CITES), unaowataka kuongeza idadi ya wanyama wanaozuiwa kufanyiwa biashara wakiwemo tembo, twiga na faru. Akizungumza katika...
 14. diana chumbikino

  Shehena za mizigo zinavyozidi kumiminika bandari Mtwara

 15. diana chumbikino

  Serikali yatoa mwongozo Uchaguzi Serikali za Mitaa

  SERIKALI imetoa mwongozo wa uchukuaji fomu za kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zinazoanza kutolewa Jana . Katika mwongozo huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, amesema ni marufuku kufanya kampeni katika...
Top Bottom