Recent content by diamond d

  1. diamond d

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

    Aisee ukisikia devil possesed n speaking in a man ndio hii
  2. diamond d

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo orodha ya maamuzi ya ovyo kuwahi kufanyika Tanzania

    Ya dodoma ondoa
  3. diamond d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Me naudhika design ya ma vituo ni ya kawaida sana, km ile ya mbagala manyotanyota, lkn airport wangepiga new and modern designs aisee
  4. diamond d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wadau Hii kitu nimeona kabisa inawezekana kujengwa pale inapo anzia fence ya airport ukiwa unatoka tazara pana mwinuko flan hivi. Nadhani lazima tuwe na vitu mbalimbali muhimu na vya kupendeza.
  5. diamond d

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Terios Daihatsu 1999

    Kuna mtu anauza Terios Daihatsu 1999 2m, anasema changamoto ni gearbox, Tafadhali kwa wazoefu wa hii gari Terios Daihatsu. Naombeni msaada hasa uimara na ulajiwake wa mafuta
  6. diamond d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    .
  7. diamond d

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli alijitabiria kifo mara kwa mara kwa kulinda maslahi ya Watanzania?

    Master au siyo sasa ndio truth twende
  8. diamond d

    JamiiForums Tanzania Qatar world football finale/finalists: religion concepts revealed?

    Kuungama kunaenda sawa na Kutubu, kuungama ni kukiri kifanya kosa, kutubu ni kuacha na kitorudia kosa. So usifikiri mambo ni mepesi hivyo
  9. diamond d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Oii hivi hizi Train zinakaaje kwanza nimechelewa mada wadau, ni utangulizi au ndio mzigo wenyewe
  10. diamond d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Nilijua tu hivi ndio vitakuja daaaah
  11. diamond d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mjihadhari vinywa vyenu
  12. diamond d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Huoni wanakula
Back
Top Bottom