MH.Rais wa JMT Dr.John Pombe Joseph Magufuri .hawezi kuwa sawa Mwl.nyerere . kwasababu.wanatofautiana vitu. 1.Rais JPM anaupinzani mkali tofauti na Nyerere 2.Wananchi wengi walikuwa wamechoka chama tawala 3.Rais JPM analiongoza taifa wakati idadi wasomi...
Binafsi naunga mkono hoja.lakini naikosoa BAVICHA kwakosa la kuzuia mkutano mkuu wa CCM taifa tena wa uchaugizi viongozi ndani ya chama. ambapo rais wetu Mh.JPM atakabiziwa rais awe mwenyekiti CCM taifa.rais wetu tunatakata awe mwenyekiti .je BAVICHA waenda dodoma kuvuruga,au kumpongeza...
Mleta maada wengi wemekuunga mkono na mimi nataka niase "watu wa dunia hii wanateseka sana mambo wa mapenzi wanaumizwa kila siku,kwasababu wa2 kama nyie mnaotoa ushauri wa kupotosha pa usio nautafiti.nimefanya utafiti 80% wanawake wanaangalia SHAPE,RANGI na sio akiri,busara.angalia wanaume...
Prof Magembe acha kufanya siasi.unataka uwaambie nn watanzania,kuiga mpango kutoka nchi kubwa na ya watu wengi mf. Uingeleza,Kenya,tutakuwa koloni lao.je utaka tuenda Rwanda kwa PK
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.