Tundu Lissu kuiondoa CCM 2020

Tundu Lissu kuiondoa CCM 2020

Km ni shati si ndo neema kwa chama chenu cha uchwara? Au utaka style ya kuvizia ili watu wasipate mda wa kumfahamu mtu anayetaka kuwa raisi wa nchi km alivyofanya jpm? Unafikiri angetangaza mapema anataka kuwa rais watz wakamchunguza ingekuwaje? Hapo alipo anajua fika mwisho wake urais 2020, hachaguliki tena maana waliomchagua hawakupata mda wa kumfahamu
Wekeni sasa watu watusue,
 
Ushauri kwa wapenda mabadiliko wote Tz na hasa kwa namna ya pekee chadema, ukawa, vyama vya ccm B na mwisho kabisa kwa umuhimu baadhi ya watu ndani ya ccm

Watz wengi ni hawajui jinsi nchi inavyoendeshwa zaidi wanaelewa taratibu sana (slow learners, kwa mfano uchaguzi wa 2015 ilikuwa vigumu kwa wengi kuelewa tofauti ya Lowassa wa ccm na Lowassa wa Chadema ukawa, matokeo yake wapo wapinzani wengi walioishabikia na kuichagua ccm na uchwara wake wote.

Logic ni kwamba kusubiri mpaka karibu na 2020 ndiyo tumjue mgombea watz wengi hawaelewi haraka kwa hiyo itakuwa kazi ngumu sana kumuuza, elewa kuwa 75% wapo vijijijni where poverty and ignorance are main features.

Kwa hiyo ushauri rahisi kwa maoni ni kwamba upinzani uwe na mgombea kuanzia sasa ili wanaoelewa taratibu wapate mda wa kutosha kujenga imani lakini zaidi kumfahamu yeye ni nani, 2010 Slaa aliingia dakika za mwisho wakaibuka na habari ya kupora mke wa mtu, 2015 Lowassa wakaibuka na fisadi amekimbia mara anaumwa etc etc.

Kwa siasa za upinzani Tz mpaka leo, mtu pekee ambaye ameonesha kwa vitendo kwamba anaweza kuongoza kujenga Tz endelevu ni Tundu Lissu. Akiwekwa sokoni leo, kabla ya 2020 mchezo utakuwa tayari umeisha. Inaweza kuwa mtu lakini ni lazima kumuweka sokoni sasa.
Unapoteza muda kuandika hadithi na ndiyo za alinacha! Si bora ungetumia muda huo kuuza japo nyanya?????
 
Utakuwa umetumwa na Team Lissu wewe, siwaombei mabaya ila unahatarisha uimara wa Chadema, huko kuna watu wanapenda madaraka kiasi kwamba maneno yako haya yatakuwa yamewachefua vibaya
 
Km ni shati si ndo neema kwa chama chenu cha uchwara? Au utaka style ya kuvizia ili watu wasipate mda wa kumfahamu mtu anayetaka kuwa raisi wa nchi km alivyofanya jpm? Unafikiri angetangaza mapema anataka kuwa rais watz wakamchunguza ingekuwaje? Hapo alipo anajua fika mwisho wake urais 2020, hachaguliki tena maana waliomchagua hawakupata mda wa kumfahamu
Wekeni tu huyo wa MIREMBENI kama hamjakimbiana kabla ya 2020
 
mimi naona kama kafitina hivi maana hujaambiwa uchaguwe kwani huyo lowassa kufanya kosa gani hio nimbinu mbaya kabisa twataka agombanie lowassa mpaka apate inchi kwahalali au Muumba wayote akiichukuwa roho yake hapo Tena tutaaamua Waala usituchanganye
 
...Lissu alikua chaguo langu tangu 2015...lakini UKAWA wakawa wagumu....Huyu mtu ni shujaa na mwenye uwezo kucheza one man show kama JPM kuliko wengine wote huko ukawa....huyu alionyesha mfano hai wa one man show bungeni...na hasa kwenye lile bunge la katiba....hana mfano huyu....
 
  • Thanks
Reactions: JGG
Back
Top Bottom