Recent content by Devils Advocate

  1. Devils Advocate

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje katika hili

    Public Information is never patented or copyrighted.
  2. Devils Advocate

    JamiiForums Tanzania Mwajiri anapokuachisha kazi baada ya kutumikia kampuni kwa miaka 10

    Kama kuna sababu ya kuachishwa basi anachukua mafao yake yote halafu anaanza upya. Kuna technicalities involved na kila mtu anategemea na each particular situation. Hiyo ya kwako iko juujuu sana na ndo maana unapata usahuri juu juu. Laki swali la kizushi hivi kwa nini watanzania hawapendi...
  3. Devils Advocate

    JamiiForums Tanzania What are the legal responsibilities of the Advertiser?

    ofkoz kuna legal technicalities involved kuonagalia the level of proffesionalism involved by the advertise to verify the veracity of the negligence. However its not something that can be discussed fully here and much worse it depends on the circumatances of each particular case.
  4. Devils Advocate

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Mahakama za Ardhi

    Pole. Nenda kalalamike kwa mweyekiti wa baraza la ardhi wilaya kuwa amri ya mahakama haitekelezwi (kama ipo) maana i am sure kwenye suala la kutolipa kodi mahakama haiwezi kutoa zuio lililoombwa maana huwezi ukaenda mahakamani kuomba usilipe. Ukishindwa kwa mwenyekiti nenda wizara ya ardhi kwa...
  5. Devils Advocate

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kazini in 24 hours time

    This sounds like unfair termination na ushauri wa kisheria ni kitu kizuri. PM me for guidance and meeting if it really is something that youhave personally experienced. I hate employers of this nature.
  6. Devils Advocate

    JamiiForums Tanzania Expatriates??

    Read the relevant Law. its Cap 243 od the Laws of Tanzania. the relevant section on expatrite is reproduced below: PART VI EMPLOYMENT OF FOREIGNERS (ss 24-27) [PCh243s24]24. Application This Part shall not apply to foreigners who are– (a) self-employed; (b) employed by...
  7. Devils Advocate

    JamiiForums Tanzania SHERIA INASEMAJE KUHUSU IDADI YA WAFANYAKAZI WAGENI KWENYE KAMPUNI MoJA

    Sheria inaitwa The National Employment Promotion Services Act (Cap 243 RE 2002). The relevant section is reproduced hereunder: PART VI EMPLOYMENT OF FOREIGNERS (ss 24-27) [PCh243s24]24. Application This Part shall not apply to foreigners who are– (a) self-employed; (b)...
  8. Devils Advocate

    JamiiForums Tanzania SHERIA INASEMAJE KUHUSU IDADI YA WAFANYAKAZI WAGENI KWENYE KAMPUNI MoJA

    Sheria zipo na inategemea na aina ya kazi na regulations zake. Ila mara nyingi nchi hi hazifuatwi. I will check for you na kurudi lakini nafikiri ni immigration act maana yenyewe ndiyo inayomiliki work permit
  9. Devils Advocate

    JamiiForums Tanzania Mpangaji analindwa vipi na sheria?

    Kama ulishampa mkataba na amekupandishia kodi kwa rate amabayo ni kubwa unampeleka kwenye baraza la ardhi la kata na kumlalamikia. Sheria inakulinda na kukupa haki kama mpangaji.
  10. Devils Advocate

    JamiiForums Tanzania Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Buchanan, CHADEMA peke yake hawawezi ila sauti za wadau zimeanza kupazwa. Jana chama cha Wanashera Tanzania Bara wametoa ripoti yao ya uchaguzi na moja ya madai yao ni kuwa na Katiba Mpya (kwa maelezo zaidi soma ukurasa wa 3 wa mwanananchi na ukurasa wa kwanza wa Daily News. Ripoti yao ya...
  11. Devils Advocate

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

    Dr. Masumbuko Lamwai kwa sasa ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria (Faculty of Law) cha Chuo Kikuu cha Tumaini tawi la dar es Salaam. Pia bado anaendelea na kazi yake ya Uwakili na nafikiri bado ndiye wakili mkuu wa CCM. Kwa sasa ameamua kujikita zaidi katika taaluma lakini nafikiri alimsaidia kwa hali...
  12. Devils Advocate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bosi kamwambukiza UKIMWI rafiki yangu.......................USHAURI!!!

    Duh!! Hii inanifanya nikumbuke comment ya kijinga ya JK kuwa wanaoambukizwa ukimwi ni Kiherehere chao!! Kumbe he had good reasons to say what he said!! Bonge, Mwambie huyo dada kama anataka kufa ndani ya mwezi mmoja basi aendelelee na utaratibu wake wa kutokukubali hali yake mpya. Kama anataka...
  13. Devils Advocate

    JamiiForums Tanzania Explosives act please!!!!!!!!

    Please find attached n dont forget to say thank you!!
  14. Devils Advocate

    JamiiForums Tanzania GE2010 Joseph Mbilinyi ataka bandari ya nchikavu Mbeya

    Mr II anatoa ahadi chache lakini ni za muhimu. its about time mbeya kuwa Inland Port kwa Malawi na Zambia. Its so logical. Hili la computer 30 nalo zio gumu sana kwa mtu aliyeishi marekani. Refurbished computers zinapatikana kwa bei chee sana. Hata kwa mshahara wa ubunge ti anaweza leta zote.
  15. Devils Advocate

    JamiiForums Tanzania GE2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

    I quite agree. Sugu ni mwanaharakati wa zamani sana. Toka akiwa pale Shell ya Gapco anauza mafuta. Enzi hizo muziki tulikuwa tunaurekodo kwenye cassette tapes na sio CD. By that time i am sure Nakaaya was still at school.
Back
Top Bottom