Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

Mbona Lamwai amekuwa maarufu hata kabla ajachaguliwa Diwani wa Manzese, Kwenye Corridor za Mahakama za Tanzania jina lake si Dogo, Ni Mwalimu mzuri wa Sheria, kwamba UKIMWI unamtaiti, sina uhakika sana na hilo, mara nyingi nimetokea kufanya naye kazi kwa karibu sijaona tofauti ya Afya yake. Naona yuko fit.Kila mtu anahitaji kuombewa aliye na ........., na asiye na .............., unless kama mtu ameamua kuwa Towashi , vinginevyo huwezi kujua kesho yako.
Huko mahakamani sawa alijukana lakini mitaani alifahamika zaidi wakati wa harakati za kugombea udiwani wa Manzese. Nakumbuka kijana mmoja wa manzese alikuwa na kesi ya kubambikiwa na polisi, Lamwai alipolijua hilo wakati wa kampeni alilivalia njuga na kuhakikisha kesi ile inafutwa - na hapo ndipo vijana wengi walipomuona kuwamkombozi wao.
 
Lamwai alipolijua hilo wakati wa kampeni alilivalia njuga na kuhakikisha kesi ile inafutwa - na hapo ndipo vijana wengi walipomuona kuwamkombozi wao.
Hapo kwenye nyekundu Mkuu, Kwa maana hiyo nimekuelewa.
 
Bro mimi simchukii wala sina kesi naye ila ni mtu ninayemjua sana,wakati akiwa NCCR alipata jina kubwa sana, matokeo yake akakosa adabu, ikawa anachapa sana wake za washkaji, matokeo ndiyo hayo bro, UKIMWI UMEMTAIT MBAYA,

Major ,mbona umemkomalia sana mtoto wa mwanamme mwenzio,na wa kwako kapitiwa nini manake ukilisifia jua ujue limekuangazia
 
Masumbuko ndiye mwanae alimgonga mtembea (msichana) kwa miguu akitoka kuchota maji. Alafu kweli ni mlevi.

Raha ya milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani.

Bia bora, marafiki wa kweli.
 
Haya mambo ya ukimwi confidential jamani. Ugonjwa wa mtu usiwekwe hadharani hapa JF.
 
Wana JF naombeni nifahamu huyu Masumbuko Lamwai yupo wapi? anafanya nini? amezungumza lolote kuhusiana na ushindi uliotolewa na NEC kwa baba Ridhiwani? kwanini huyu mtu yupo kimya sana? nini kimemsibu kisiasa? Anatufundisha nini kuhusiana na somo la ubinafsi na ufia Nchi? Je anaweza akawa anafanana na Zito Kabwe?

Kuuliza ndiyo kujua nisaidieni.
 
huyo jamaa alishapotezwa kisiasa baada ya kuonekana ni mwiba kwa wa fulani fulani! nasikia hata 'vyeti' vyake alishanyang'anywa! afanyeje?
 
Sasa Dr Lamwai si angekufa na heshima yake angekuwa pale UDSM jamani?
Namwonea huruma sana.
 
Sasa Dr Lamwai si angekufa na heshima yake angekuwa pale UDSM jamani?
Namwonea huruma sana.
Siasa sio za Kuingia kichwa kichwa, thus why Dr. Slaa alimwambia yule jamaa wa UWT kama anataka siasa aende halafu wamchakachue ndio ataelewa, kuna watu wamewekeza siasa
 
Jina lake limemfanya apate masumbuko. Vinginevyo hata hivyo vyeti vinavyodaiwa kuwa alinyang'anywa asingenyang'anywa.
Ninachokumbuka alirejea CCM kama sikosei, baada ya misukosuko. Hana ubavu wa kufia nchi yule. Mwoga kama bawa la kungulu.
 
Mdogo wake ni mpiganaji anayeitwa Joseph Selasini ni mbunge wa jimbo la Rombo kupitia CHADEMA ndiye aliyemuangusha Fisadi Mramba!
 
Wana JF naombeni nifahamu huyu Masumbuko Lamwai yupo wapi? anafanya nini? amezungumza lolote kuhusiana na ushindi uliotolewa na NEC kwa baba Ridhiwani? kwanini huyu mtu yupo kimya sana? nini kimemsibu kisiasa? Anatufundisha nini kuhusiana na somo la ubinafsi na ufia Nchi? Je anaweza akawa anafanana na Zito Kabwe?

Kuuliza ndiyo kujua nisaidieni.

sijui aliko ML lakini .............

hapo kwenye red mi sijaelewa.
 
Hakuna mtu wala taasisi yeney uwezo wa kumnyang'anya mtu vyeti vyake vya kitaaluma alivyopata, taasisi kama chuo kikuu vina uwezo tu wa kumfutia mtu shahada (degree) aliyotunukiwa baada ya kubaini kuwa alifanya udanganyifu in the process, serikali kwa upande wake inaweza tu kuzuia usipate ajira kwenye taasisi zake kwa kutumia vyeti vyako iwapo inataka kukukomoa au kama ina sababu zingine strong, lakini hili la kunyang'anya mtu vyeti halipo!
 
huyo mtu ccm wameshamchakachua mpaka kaisha utamu wote.amebaki galasa tuu ambalo kazi yake imekwisha. na hayo ndo matokeo ya kuvamia vyama vyenye dhambi kubwa kwa masikini wa nchi hii. huo ni mfano na wengine wengi tuu watafuata
 
Wana JF naombeni nifahamu huyu Masumbuko Lamwai yupo wapi? anafanya nini? amezungumza lolote kuhusiana na ushindi uliotolewa na NEC kwa baba Ridhiwani? kwanini huyu mtu yupo kimya sana? nini kimemsibu kisiasa? Anatufundisha nini kuhusiana na somo la ubinafsi na ufia Nchi? Je anaweza akawa anafanana na Zito Kabwe?

Kuuliza ndiyo kujua nisaidieni.

Dr. Masumbuko Lamwai kwa sasa ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria (Faculty of Law) cha Chuo Kikuu cha Tumaini tawi la dar es Salaam. Pia bado anaendelea na kazi yake ya Uwakili na nafikiri bado ndiye wakili mkuu wa CCM. Kwa sasa ameamua kujikita zaidi katika taaluma lakini nafikiri alimsaidia kwa hali na mali mdogo wake Joseph ili aweze kushinda ubunge wa Rombo.
 
Good news kama bado adunda. Opposition ndani kwa ndani, au siyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom