Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Mimi ni mdau katika secta ya madini na nahitaji kupata soft copy ya sheria za matumizi ya baruti kwa ujumla wake kwani nimejaribu kucheki kwenye website ya wizara husika sijaipata so, naomba msaada wenu wana JF.