Recent content by Devil Triangle

  1. D

    JamiiForums Tanzania Anayemiliki Singida na Ihefu achunguzwe, ligi ya NBC inakwenda shimoni

    Ihefu wamiliki wake ni wale wafanyabiashara ya mpunga Mbarali, sijaona connection yoyote na Singida
  2. D

    JamiiForums Tanzania AFCON: Mambo yamebadilika?

    Soka limekuwa siku hizi hakuna cha giant
  3. D

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia Jeshini

    Mtoto wa kike jeshini atakachoambulia ni kujifunza umalaya tu na uhuni, hakuna faida yoyote, mi binti yangu siwezi kubali aende huko.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia Jeshini

    Nilikuwa na demu wangu kabla ya kwenda jeshini alikuwa mstaarabu, mkarimu n.k. Alivyoenda jeshin huko kwa kujitolea, bwana, kurudi, mtu wa matusi kama yote, mbabe ,hayuko romantic ,yakanishinda nikalala zangu mbele.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Komando na Manati

    Kama hawana manati, basi hawajaiva kwenye medani ya ukomandoo
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo; NHC, NSSF, TBA, Watumishi Housing vipi?

    Juzi mwezi uliopita NSSF iliuza mradi wake wa nyumba kwa mwekezaji kwa tsh, bilioni 500, mradi ambao uligharimu tsh bilioni 300, Kwa maans hiyo faida ni tkribni bilioni 200! Hii miradi ya nyumba inaingiza faida!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu ana laini mpya

    Ni wanawake wachache sana wenye mwanaume mmoja, apo uko na mwanaume mwenzako, kiufupi mkeo ana wanaume wengine, inauma lakini ndio ukweli huo.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    majambazi hayo, mi nimeshawachoka, nitawashtaki.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Simpendi Halima Mdee, ila napenda misimamo na mawazo yake. Anafaa sana kuendelea kuwepo CHADEMA

    Halima amewasaliti vipi Chadema? Ina maana hakuwa na haki ya kuwa mbunge wa Chadema?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Afrika ni mgumu na wa ajabu sana, usiposhinda nyumbani kwa mabao mengi imekula kwako

    kwa mazingira ya africa fainali moja itapoteza mvuto, walijaribu wakashindwa
  11. D

    JamiiForums Tanzania Jielimishe kuhusu Israel na vita zinazomzunguka

    Hizo dini mlizoletewa na meli zimewapumbaza sana
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hawa Hamas ni Mgambo kama walivyo Mgambo wa Jiji Hapa Tanzania? Au ni Jeshi kamili maana Wametisha sana!

    Israel na uwezo wake wameshindwa kupenyeza makachero ndani ya Gaza? Sasa huo ubora wa Mosad uko wapi,?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Dah! Netanyahu amesema kichapo kitaendelea hata kama Israel itabaki yenyewe

    Nyuklia hata Pakistan wanazo!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hawa Hamas ni Mgambo kama walivyo Mgambo wa Jiji Hapa Tanzania? Au ni Jeshi kamili maana Wametisha sana!

    Mkuu Gaza kamji kadogo Israel mwezi mzima anaogopa kuingia, Yaani wanawahofia Hamas kiasi hicho?
Back
Top Bottom