Recent content by devcon

  1. devcon

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mwenye connection ya kuagiza mzigo china please hususan nguo za kike
  2. devcon

    Nataka kuanza kuuza nguo kwa mtaji wa Tsh. 50,000/-

    Ongeza kidogo mtaji bro huwezi kuanza biashara na nguo nne (4)
  3. devcon

    Wakenya mbalimbali waendelea kuwaomba wenzao kujifunza na kuwaiga Watanzania

    Acha wapambane na hali zao, ukijifanya mjanja sana mwisho wa siku unaonekana mshamba ndo kinachowakuta Wakenya sasa hivi.
  4. devcon

    Huzuni: Jini aondosha uhai wa dereva Bodaboda

    Kwa tunaojua elimu ya majini huyo hakua jini labda ni mchawi km wachawi wengine tu
  5. devcon

    Kenya yaanza kulia lia, yadai haikuzuia ndege za Tanzania badala yake walitaka watu kutoka Tanzania wakitua Kenya wawekwe Karantini

    Ukijfanya unajua sana mwisho wa siku unaonekana mshamba,,kenya ni washamba
  6. devcon

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Nashangaa sn hadi sasa sijakia mazishi ya huyo kijana yanafanyika lini,waislam wa kilosa mnakwama wapi?yn hadi polisi wanakuja kijana bado yupo hai tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. devcon

    Gharama ya kupata hati ya kiwanja

    Mkuu usipoteze pesa zako,,kiwanja chenye ukubwa wa chini ya 400sqm hupewi hati isipokua utapewa leseni ya makazi tu. Jaribu kufatili vzr wizarani kabla hujaanza mchakato
  8. devcon

    Wakenya acheni kumdhihaki Rais wetu

    tatizo la wakenya ni moja tu,wanadhani mtu kujua kuongea kingereza basi ndo kamaliza kila kitu katika maisha ya dunia yn wao bila kingereza hakuna maisha
  9. devcon

    Usiyoyajua Kuhusu Roho (The Real Hidden World)

    Asante kwa majibu yako japo sijakuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. devcon

    Usiyoyajua Kuhusu Roho (The Real Hidden World)

    Mkuu nina maswali mawili juu ya mada yako naomba unisaidie 1)kuna watoto ambao wanazalia inawachukua muda kulia hadi inafikia wanapigwa kakofi kadogo ili kuwafanya walie,je hapo roho inakua bado haijwaingia wakati wapo duniani tayari? 2)katika imani yng ya kiislam tunaamini kua mtoto...
  11. devcon

    Vita mpya: CHADEMA watuhumiwa kumfadhili Abdul Nondo kumng'oa Zitto Kabwe Kigoma Mjini

    Hata agombee Magufuli hawezi kumtoa zitto kigoma Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom