EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,305
- 20,945
- Thread starter
- #61
da humu wamezidisha mkuu,wanamuigiza mkuu lugha gongana halafu anakwea kwenye miti kama ngedereKuna kipindi kinaitwa churchil show. Hicho kipindi hawa jamaa wana enjoy uhuru wa hali ya juu wanamuigiza yeyote. Kuna jamaa akimuigiza M7 utafikiri ni yeye, wanamuigiza Odinga, Uhuru na viongozi wote kwa mambo wanayoyafanya, wanaigiza sauti zao. Sisi tunaita udhalilishaji. Hahaaaaaaa