KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,331
Habari ya mda huu Wanajukwaa
Kama kichwa kilivyo
Leo nitajaribu kuja na baadhi ya mambo ninayoyafahamu kuhusu Roho huenda unayajua pia ama ndio itakuwa mara ya kwanza pengine pia unayajua zaidi.
Karibu
1.MTOTO ALIYE TUMBONI HANA ROHO HADI ANAPOZALIWA
Unaweza ukashangaa na kujiuliza inakuwaje juu ya hili,
Ila ni ukweli usiopingika kuwa mtoto anapokuwa tumboni kwa mama anakuwa hana roho kabisa bali roho yake hukabidhiwa pale anapozaliwa.
Roho inapomuingia mtoto analia but ni roho inapata shida maana inafutiwa kumbukumbu zote ambazo ilikuwa ikiishi maisha ya kiroho(Wanasayansi watakuambi kuwa anakutana na hewa Nzito hapa duniani ndio maana analia)
PIa kumbuka hili ni lango ukilichafua mtoto anaweza akainywa roho akizaliwa anakuwa mfu(Sio wote wanaozaliwa wafu wanakuwa sababu ni hiyo)
Kwa nyongeza ili uweze kuliewa hili nikwamba mtoto anapokuwa tumboni wazazi wanaweza kuamua kummilikisha mtoto kuwa kwa Mungu ama Kwa Muovu
Inakuwaje Wale Wakristo wenzangu kaangalieni habari za Samsoni ama habari za Yeremia Ama Habari za Isaka
Yaani yeyote aliyezaliwa hapo alikabidhishwa mikononi mwa Mungu moja kwa moja hata akiishi katika maisha haya haijarishi kakosea namna Gani still atabia wa Mungu tu.
Na wale mnaoenda kwa waganga kupata uzazi kuna waganga wa aina mbili mtaalamu wa miti shamba na Mganga ambaye anatumia nguvu za giza huyu anayetumia nguvu za giza basi mtoto humilikishwa katika ulimwengu wa giza hao watoto wakizaliwa no matter what watakuwa wa ajabu ajabu na wapo duniani kwa kazi kubwa ya kumtumikia muovu.
Nitakuja na mada kueleza namna Muovu anavyofanya watu wakose mimba na baadaye anakuja kupata mtoto ambaye watampa wao wenyewe na kumirikisha roho yao ya kishetani.
Nilikuwa najaribu kutoa maelezo ya ziada uelewe mtoto anapokuwa tumboni hawi na Roho.
Kama haujaelewa Uliza kwanza kabla povu halijakutoka utajifunza zaidi.
2.KILA MWANADAMU ANAKUWA NA FUNGUO YA KUTUUNGANISHA NA ROHO
Hizi funguo ni kama gps vile ambazo kazi yake kubwa ni kufanya roho isipotee pale inapokuwa imeuacha mwili imeenda kuzurula na inaporudi itaurudia mwili wake haiwezi kupotea.
Hii ndio hufanya hata unapofanya Astral Roho yako haiwezi kupoteana na mwili never.
3.KILA ROHO INA ALAMA YAKE YA KIFO
Kifo ninachoongelea hapa ni kile cha roho kuachana na mwili, nikwamba haijarishi mtu anakufa kwa kuumwa bila kuumwa ajali au kwa jambo lolote ili mradi tu roho inakaribia kuachana na mwili huanza kuonyesha ile alama yake yakwamba sasa inakaribia kurudi ilikotoka huenda ikawa ni upenzi wa kuvaa nguo za rangi fulani tu zaidi, ama kutokea kwa alama mwilini kama madoa meusi hivi nk
Ila itakuwa ni alama ambayo anayeweza kuitambua atajua yakuwa upo siku za usoni kutengana na roho yako, siku ya kufa unaweza kuijua.
4.HUWEZI KUONA MZIMU BILA ROHO KUKURUHUSU AU KURIDHIA
Inamaana yakuwa hivi unaweza ukawa umekutana na mzimu (ghost) roho yako ikaona ila mwili wako wa nyama usione, sasa ikitokea yakuwa umeona jua yakuwa roho yako imekuruhusu uweze kuona hicho kitu mbali na hivyo hautaweza kuona kamwe.
(Hapa siongelei mambo ya kutokewa na wachawi kuamua wewe uone kwenda kwa waganga nk naongelea maisha ya kaiwadia tu umekutana na kibwengo usiku nk)
5.KUNA ROHO HUJA DUNIANI KAMA OMBAOMBA KUTUWEZESHA TU.
Ndio nikweli hizi ni roho ambazo zenyewe zipo kwa ajili ya kutusaidia tu ama kutufanikisha katika mambo yetu kupitia omba omba yaani huyo mtu atazaliwa hadi anakufa ni omba omba tu,
Inapotokea unamsaidia omba omba basi kuna jambo kutoka kwako ambalo halikuwa sawa hufanikishwa yaweza kuwa moja au mawili na zaidi pia inategemeana
Ndio maana wale mnaopenda sana kujitolea kwa omba omba unapaswa uwe unajiandaa kwa njia ya maombi Omba kwa Mungu akulinde na kukukinga na maouvu lakini pia akubariki kwa kile utachofanya hii husaidia kukukinga na omba omba feki(wanaotoka kuzimu nakuja kuteka watu duniani nitakuja eleza siku inakuwaje)
Kwahiyo sio kila ombaomba ni feki wengine wapo wamekwa kwaajili ya kubalance asili
6.UNAPOTUPA CHAKULA UNATUPA BARAKA ZAKO AU MAFANIKIO YAKO
Nikweli ila sio kwa vyakula vyote ni baadhi ya vyakula chakula chenyewe hicho ni mkate, unapokuwa umekula mkate umeshiba ama umeharibika ama hauwezi kuula tena na unajua hawezi kula mtu uchukua kama takataka vyema fuata taratibu za kuhidhi takataka kama kuweka kwenye chombo cha uchafu na kwenda kumwaga shimoni nk
Ila ile unakula upo njiani unatupa tupa tu hovyo kama mabaki basi kuna mambo binafsi unayarudisha nyuma mwenyewe pasipo kujaua(Soma kuhusu vyakula na asili utaelewa)
Kwa leo naomba niishie hapo asantheni sana kwa kusoma tukutane tena katika mada nyingine ndugu zangu wa jf
"Usichokipenda Usihangaike Nacho Fanya Mambo Yako Mengine"