Wakenya mbalimbali waendelea kuwaomba wenzao kujifunza na kuwaiga Watanzania

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,616
Baada ya wananchi wengi wa Kenya kwa muda mrefu sasa wakipiga kelele kumuomba Uhuru Kenyatta kuiga uongozi wa Magufuli katika kutatua kero za wananchi hasa kupiga vita rushwa, sasa viongozi wakuu na wadau wa mpira wa miguu Kenya wamejitokeza na kuwataka wakenya kujifunza toka Tanzania.

Ikumbukwe hii ni baada ya wakenya kuomba wanamuziki wa Kenya kujifunza toka kwa wenzao wa Tanzania baada ya vyombo vya habari na vyombo vya usafiri nchini Kenya kucheza muziki wa Tanzania muda mwingi na kupuuza muziki wa Kenya.

Tanzania ni chuo cha mafunzo, karibuni kuja kujifunza mambo mengi yakiwemo kuishi kwa amani, umoja na upendo bila kubaguana.

======

Kenyans must learn from Tanzanians’ football love – Ex-Gor Mahia’s Bolo

The former K’Ogalo official called on locals to look at what their neighbours are doing regarding soccer passion, attendance and borrow a leaf

Kenyans must change their attitude and culture if they are to emulate love for football exhibited by the Tanzanians, according to former Gor Mahia treasurer Sally Bolo.

Bolo claimed the East Africans have always shown passionate love for football irrespective of the teams that are playing.

The former Green Army official picked an example of the 2017 match between the Kenyan Premier League giants Gor and Premier League side Everton in Dar es Salaam to reinforce her point of how the Tanzanians have embraced football regardless of the participants.

“The level of passion for football in Tanzania is extremely amazing. Big up. We need to change our attitude and culture to pull such a crowd,” Bolo Tweeted. “True, we only go to the stadium when our teams are playing.

“In Tanzania, things are different. Those people go to the stadium even if both teams are from other countries.

“A case study; when Gor Mahia were playing against Everton. Look at Cecafa tournaments held in Tanzania, they watch the match live.”
Bolo was also impressed by how Premier League and FA Cup winners Simba SC organised their Simba Day on Saturday.

“Wow, this [was] awesome! Look at the crowd and atmosphere. It’s full house at the Benjamin Mkapa Stadium in Dar es Salaam as Tanzanian giants Simba celebrate Simba Day.

“That was extraordinary and well-executed by Simba management. Truth be told, their fans are very passionate and love the beautiful game.”

Bolo’s suggestions come after former Cecafa General-Secretary Nicholas Musonye claimed Kenyans had abdicated their roles of supporting own teams.

“If Harambee Stars are playing at Nyayo Stadium and only 15,000 people turn up what is that? Football is people,” Musonye said in an earlier interview. “Look at our AFC Leopards vs Gor Mahia match where it has failed to attract people. Our people have immersed themselves in betting and European football.

“In an AFC Leopards match against Sofapaka, you can only be assured of 300 supporters attending. Others are hiding somewhere, drinking alcohol, betting and gossiping.”

Apart from the Simba Day, Yanga are have organised the Yanga Day whose events will culminate on August 29, while Azam FC are conducting Azam Festival 2020, both of which are events planned to meet and interact with fans before every new season.
Those moments are unique to Tanzanian clubs as no other regional team do the same.

In the ongoing transfer window, Tanzanian sides have attracted key foreign players who impressed for their former sides in the previous seasons.

Joash Onyango, Larry Bwalya and Chrispine Mugalu signed for Simba, whereas Yacouba Sogne, Michael Sarpong, Mukoko Tonombe, and Tuisila Kisinda are among the foreigners who landed at Yanga.

Azam FC, the former league and cup champions, signed Zimbabwe international Prince Dube.
The arrival of Ugandan duo Cleo Ssetubba and Joseph Zziwa at Biashara United is further indication that the Mainland League has become attractive to the region's best talent.

Source: Goal.com
 
Wakenya kwa miaka mingi sana wamekuwa watumwa wa wazungu na tamaduni za magaribi. Maisha yanazunguka na dunia pia.Korona imetibua kila kitu, mambo mengi sana yamewekwa hadharani. Masikini amejulikana, tajiri pia amefahamika.Waliokuwa wanaishi fake life wamewekwa peupe.

Ushauri wangu kwa wakenya: Rudini kwenye uhalisia wa utaifa wenu .Acheni fake life. Umasikini mlionao kwa sasa sio siri tena, ni aibu sana na mnahitaji msaada wetu.

Msione aibu njooni tuzungumze mezani tutawasaidia. Tunawapenda japo mlitutukana sana wakati tunafunga na kuomba kwa Mungu alie hai na nyie mlikuwa mnafatilia CNN.

Poleni sana
 
"Kenyans must learn from Tanzanians’ football love". Hebu tafsiri hyo sentensi kwanza
 
Wakenya kwa miaka mingi sana wamekuwa watumwa wa wazungu na tamaduni za magaribi. Maisha yanazunguka na dunia pia.Korona imetibua kila kitu, mambo mengi sana yamewekwa hadharani. Masikini amejulikana, tajiri pia amefahamika.Waliokuwa wanaishi fake life wamewekwa peupe.

Ushauri wangu kwa wakenya: Rudini kwenye uhalisia wa utaifa wenu .Acheni fake life. Umasikini mlionao kwa sasa sio siri tena, ni aibu sana na mnahitaji msaada wetu.

Msione aibu njooni tuzungumze mezani tutawasaidia. Tunawapenda japo mlitutukana sana wakati tunafunga na kuomba kwa Mungu alie hai na nyie mlikuwa mnafatilia CNN.

Poleni sana
Kenya wanamaisha ya mazingaobwe.
 
Mmoja kaja na nyimbo yake sijui kitambi mtawezana njaa haina heshima na wanaume wa tz hawatamwacha
Lazima azungumzwe huyo awezi kuondoka hivihivi. Kiswahili cha Kenya msanii akiimba waTZ tunajua kaimba comedy tu kama kina bambo kumbe mwenyewe ndio anaona kaiimba hapo.
 
Back
Top Bottom