Recent content by dev80

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

    Mfano mzuri sana na nchi ni kubwa mpaka leo bado uko stable
  2. D

    JamiiForums Tanzania DC aagiza Mkurugenzi Namaingo kukamatwa kwa kutapeli wananchi 4000 na kukusanya pesa zaidi ya TZS Bilioni moja

    Mbona watu hawajifunzi kutoka kwa deci?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa TUCTA wajiuzulu kwa kushindwa kutetea wafanyakazi

    Aisee katafute shamba ukalime au ukafungue genge uongoze kipato badala ya kulalamika maana majibu unayo
  4. D

    JamiiForums Tanzania Niache kula kuku Sea Cliff kisa kupeleka watoto English Medium?

    Hayo ni maamuzi yako binafsi hayatuhusu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Naona Dogo 'kiduku' amesalimu amri kwa wanaume kuhusu silaha za nyuklia

    Hahaa ilibidi tu afanye hivo kuepusha maangamizi ya dunia
  6. D

    JamiiForums Tanzania Watoto waliotelekezwa kupatiwa bima ya afya

    Ifike mahali wanaotelekeza watoto wajitathmini kwa kweli maana hii msaada kuna wanaostahili kama yatima na wenye mahitaji maalum
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatutumii nguzo za zege kwa ajili ya umeme kama Kenya?

    Nadhani kwa kuwa bado tuna misitu ya kutosha
  8. D

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UGANDA: Mtu mmoja ajaribu kumshambulia Askofu kwenye Madhabahu kwa gogo wakati wa misa ya Pasaka

    Duh huyo kweli alikuwa na nguvu za giza;yaani mbele ya
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ni utapeli mpya au mimi ndio mshamba??

    Hahaa hakujua kula na kipofu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa', tahadhari sana!

    Duh maaajabu
  11. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anataka kujiua

    Mwambie asome maana Elimu ndio itakuwa mkombozi wake
  12. D

    JamiiForums Tanzania BBC Dira ya Dunia: Zari athibitisha kuachana rasmi na Diamond

    Duh mwanamke yuko vizuri kimaisha yaani watoto kasema hata baba asipotake CARE yy atatacare
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mliyewahi kutumia dawa za kuongeza umbile la uume naombeni mrejesho

    Acheni kutumia hayo mavitu, cha msingi kuleni vizuri halafu mfanye mazoezi kwa sana
Back
Top Bottom