Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,903
- 3,548
Kwa maoni yangu si sahihi kumuonea mtoto kisa tu wewe haikuwa hivo kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naungana na wew kwa jambo moja tu, badala la kutumia fedha nying kuwasomesha ni vyema ukawaandalia assets zao za badae huku wakiendelea na shule za kawaida kwa kuwasisitiza kusoma na kuwafuatilia.No way!
Nishasema, kila mmoja atabeba msalaba wake. Mtoto atayeshindwa masomo atapelekwa VETA angalau akajifunze kuosha magari. Atayefaulu atakwenda shule ya kata na kingereza atajifunzia kwenye Isidingo.
Siwezi kuishi kwa shida na kwenda kuteketeza rasilimali pesa kisa mtoto akafundishwe kingereza. Pesa zangu ni za kutumbua mimi na mke wangu. Wengine ni by the way. Nishawaambia watoto wangu. Hapa ni kama wamepanda daladala ambayo konda asipoweza kukimbilia na kudandia, anaachwa kituoni.
Wenye pesa za kuchezea endeleeni kuziteketeza. Mimi nimesoma shule za kata, ila nikikaa na Maxence Melo tukaongea kiingereza, utadhani tumeshuka kutoka Marekani.
Ninaandika hivi nikisikitika, baada ya kumuona ndugu yangu mwenye maisha ya kuunga unga akiteketeza pesa yake English media. Milioni mbili kwa mwaka ni pesa ya matofali ya block elfu mbili, kwa watoto watatu ni matofali elfu sita. Mpaka wamalize darasa la saba ni matofali elfu 42! (Hiyo shule ya msingi bado hujazungumzia sekondari). Hiyo pesa si bora ujenge majumba wakae?
Kupeleka mtoto kufundishwa kiingereza English media kwa pesa ya kuungaunga ni sawa na kumlipia mtu fedha aishi hotelini ihali wewe unalala kwenye nyumba ya nyasi.
Amesema lini anatamani? Maana Ronaldo yuko bize na mtoto wake uwanja wa mazoezi.Diamond hakusoma hadi chuo kikuu ila anatamani wanawe wasome hadi chuo kikuu tena PhD wachukue.
Cristiano Ronaldo akiwa na miaka 14 aliamua kuacha shule kwa kumpiga kiti mwalimu lakini anatamani wanawe wasome na kuitwa Doctorate / professor.
Think big maaaan... !!
Hujaachaga tu mkuuNo way!
Nishasema, kila mmoja atabeba msalaba wake. Mtoto atayeshindwa masomo atapelekwa VETA angalau akajifunze kuosha magari. Atayefaulu atakwenda shule ya kata na kingereza atajifunzia kwenye Isidingo.
Siwezi kuishi kwa shida na kwenda kuteketeza rasilimali pesa kisa mtoto akafundishwe kingereza. Pesa zangu ni za kutumbua mimi na mke wangu. Wengine ni by the way. Nishawaambia watoto wangu. Hapa ni kama wamepanda daladala ambayo konda asipoweza kukimbilia na kudandia, anaachwa kituoni.
Wenye pesa za kuchezea endeleeni kuziteketeza. Mimi nimesoma shule za kata, ila nikikaa na Maxence Melo tukaongea kiingereza, utadhani tumeshuka kutoka Marekani.
Ninaandika hivi nikisikitika, baada ya kumuona ndugu yangu mwenye maisha ya kuunga unga akiteketeza pesa yake English media. Milioni mbili kwa mwaka ni pesa ya matofali ya block elfu mbili, kwa watoto watatu ni matofali elfu sita. Mpaka wamalize darasa la saba ni matofali elfu 42! (Hiyo shule ya msingi bado hujazungumzia sekondari). Hiyo pesa si bora ujenge majumba wakae?
Kupeleka mtoto kufundishwa kiingereza English media kwa pesa ya kuungaunga ni sawa na kumlipia mtu fedha aishi hotelini ihali wewe unalala kwenye nyumba ya nyasi.
Kukurupa si jambo jema wala usitake kuonekana ni mpinzani. Tumia busara na hoja zenye maana kamili.Amesema lini anatamani? Maana Ronaldo yuko bize na mtoto wake uwanja wa mazoezi.
PhD bila hela ni ujinga tu, tena hizi za wabongo ndo zero kabisa
Kwani ukiwaandalia elimu nzuri Ardhi watashindwa kujinunulia? Tatizo tuseme ukweli kwamba maisha magumu tusitoe reference za uongo, kila MTU anapenda mtoto wake asome shule nzuri na aishi vizuri sema tu mambo yanatubanaMimi nimesoma shule za serikali,,, na watoto wngu watasoma shule za serikali..watakutana CHUO NA HAO wa TABLE UNDER THE CHAIR....muhimu ni kupata elimu ya MSINGI..SECONDARY NA CHUO..na KUWAWEKEA MKAZO KTK TUITION basi..hakuna namna...now najikita na kuwekeza kwny ARDHI...wakikuwa watakutana nazo...
hivi kwani unahisi KUMPELEKA MTOTO ENGLISH MEDIUM ni UWEZO?kuna watu wana UWEZO na watoto wao wapo shule za kawaida na wapo ambao wanasomesha huko wanatusumbuwa sisi DAILY...WENGI WENU NI FASSION TU,,,na KUJUWA English.... Watakutana CHUO...Mimi nawawekea ASSETS...wakikuwa WAPATE PA KUANZIA...Kwani ukiwaandalia elimu nzuri Ardhi watashindwa kujinunulia? Tatizo tuseme ukweli kwamba maisha magumu tusitoe reference za uongo, kila MTU anapenda mtoto wake asome shule nzuri na aishi vizuri sema tu mambo yanatubana
Na maprofesa wanatamani wawe diamondDiamond hakusoma hadi chuo kikuu ila anatamani wanawe wasome hadi chuo kikuu tena PhD wachukue.
Cristiano Ronaldo akiwa na miaka 14 aliamua kuacha shule kwa kumpiga kiti mwalimu lakini anatamani wanawe wasome na kuitwa Doctorate / professor.
Think big maaaan... !!
Na maprofesa wanatamani wawe diamond
Always unatamani usichokua nacho ,its human nature
Hahhaaahah! Chizi kalogwa tena!
unawaza ada mil 2 kwa Mwaka?hiyo ni hela Ya bia, Kula ,petrol na kutombea kwa wiki, tafuta hela usomeshe watoto pimbi weweNo way!