Recent content by Despacito

  1. Despacito

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    Aseee john wick4 tayr imetokaa kwenye digital platforms mwenye link ya telegram channel nidownload wakuu
  2. Despacito

    JamiiForums Tanzania Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    tangu mtetezi wa wanyonge (fastjet) atolewe sina uhakika nitapanda tena ndege lini
  3. Despacito

    JamiiForums Tanzania Wafamasia acheni kuwa kituko, simamieni taaluma

    ushaambiwa aliyekosea maelekezo kwa mgonjwa ni mwanafunzi aliekuwepo kwenye mafunzo ya vitendo, sasa kama ungekua unajua uhalisia wa vituo vya afya hapa nchini usingeandika uzi wa kipuuzi kama huu, kimsingi mwanafunz huyo alitakiwa kuwa chini ya uangalizi lakini sio rahisi kila muda wanafunzi...
  4. Despacito

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wapenzi kama hawa tuwafanyaje

    Dah we jamaa unatoa hela zote ivo alaf hukuli papuchi mbona unakua mzembe ivo lakini, binafsi mm siwez kutoa hela ivo alaf cjala papuchi na kuna time madem huwa nawapa hela ya nauli tu alaf inakua imeisha ivo apo atabak kukutafuta wewe sas
  5. Despacito

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    kipindi niko chuo kuna teacher mmoja alikua anapenda kutoa test zake asubuh sana mfano saa 12 hiv mpk saa mbili asubuh pepa inakua imeisha....sasa bana siku hyo pepa limeisha kuna huyu manz bana nilikua sina mazoea nae kiivo ila ni mzur na si unajua madem wa chuo muda wa pepa za asubuh wanavaa...
  6. Despacito

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Saa 10 jioni (YEYE): jamani please mwenye past paper za mtiani huu aniazime jamani nataka kupitia (in wema sepetu like voice). (RAFIKI YANGU): mcheki (akanitaja) anazo za kutosha. (YEYE) : hee jamn yaan tumekaa hapa karibu nauliza kama unazo na umekaa kimya. (MIMI) : nikazuga kidogo kisha...
  7. Despacito

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Singida

    Wakuu wenyeji wa singida ebu naomba mtusaidie sisi wageni vijiwe vya totoz, maake tumefika kipindi cha baridi sana.
  8. Despacito

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Ufamasia

    mfamasia halali njaa wewe...labda kama ni mzembe
  9. Despacito

    JamiiForums Tanzania Ni kweli ajira nyingi zinategemea na chuo ulichosomea?

    course za afya nina uhakika 100% hawaangalii vyuo na kama ukisema waangalie vyuo MD wa Udom wanapondwa sana mitaani so sidhan kama watapata preference kama unavosema ila all in all kwenye afya chuo hakiangaliwi, kwa uzoefu wangu mdogo ni experience ya kaz ndo inaangaliwa kwenye afya na ufahamu...
  10. Despacito

    JamiiForums Tanzania Udahili Vyuo vya Afya

    chuo sio advance au olevel mdogo angu hakuna cha private au government, ukipata chuo chochote kinachotoa undergraduate programs za afya unayoihitaji nenda, ukigraduate mtaani hakuna tofauti as long as uko na cheti
  11. Despacito

    JamiiForums Tanzania Msaada: Divisio 2 ya PCB unaweza kusoma kozi gani?

    kipindi namaliza 6 nilipata div 2 ya 10 pia sema ni muda kidogo na nilichaguliwa Bpharm (pharmacy) sijajua sikuiz vigezo vikoje ila at that time ufaulu haukuwa mkubwa sana kama sikuiz nashauli tafuta pdf ya TCU ujue sifa ziko vipi kwa sasa
  12. Despacito

    JamiiForums Tanzania Psychedelic Drugs & Consciousness

    Niggas promoting drug abuse kwa kivuli eti ni mind opening, sio kwa Tz hii na hauez elewa mpaka uwe angalau ulishakaa MAT clinic ukahudumia watu wanaokumbwa na urahibu. hakuna ugonjwa mbaya kama uraibu wa madawa ya kulevya na siku Tz wakiruhusu bangi iwe legal basiii naamin tutapoteza nguvu...
  13. Despacito

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    dah kama MD wote mpo kama bwana kaboko ninapata wasiwasi sana na elimu yenu ya darasani mimi najitolea kama huyu MD au profesa Kaboko MD atapata kuanzia 20% ya mtihani wa pharmaceutical calculation and compounding nampatia 3,000,000/= ya usumbuf na mm tarudisha leseni yang ya kazi baraza la...
  14. Despacito

    JamiiForums Tanzania Dkt. Koboko tosheka na majukumu ya Udaktari, mwache Mfamasia kwenye eneo lake la madawa

    brother wamiliki wa famasi sio wafamasia pekee kuna watu binafsi ambao hawana taaluma ya famasi na pia doctors kibao wanamilik famas unafikil hao doctors wanaomilik famasi hawaoni ilo tatzo la kuuzwa dawa bila prescription? ila Mfamasia ndo yupo accountable famasi kutoa elim kwa wasaidiz wake...
  15. Despacito

    JamiiForums Tanzania Udaktari unalipa?

    unataka kujua nn hasa?
Back
Top Bottom