Chloroquine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 217
- 112
Zamani wengi walikimbilia BPharm ili auze cheti kwa watu wanaofungua mapharmacy ila wao hawataki kupractice kabisa ila Bpharm iko poa sana kama una mapenzi nayo kutoka moyoni yaani mbali na ajira kuserve jamii kwenye mahospital na community pharmacy zamani wakati sie tunaingia muhimbili miaka ya 2001 na moja kusoma bpharm ilikuwa easy kuswitch from MD to Bpharm and viceversa kwa sasa sijui imekaaje kwa ushauri soma ni kozi nzuri sana.