Recent content by Dereva Bodaboda Mstaarabu

  1. Dereva Bodaboda Mstaarabu

    JamiiForums Tanzania Kwa uongeaji huu wa Moses Iyobo unaleta umashaka kwa mtoto wa kiume

    Sijaona tatizo kwenye sauti wala chochote kile,,,huyu jamaa anawish kuja kuongea kistaa sana lakini anashindwa ni vipi awe na kastaili kake kakuongea kakizazi sana,,
  2. Dereva Bodaboda Mstaarabu

    JamiiForums Tanzania NINAMTAFUTA MDAU CBE DODOMA

    Sawa Mkuu
  3. Dereva Bodaboda Mstaarabu

    JamiiForums Tanzania NINAMTAFUTA MDAU CBE DODOMA

    WAKUU kama kuna mtu anamdau anasoma CBE DODOMA kozi ya Diploma ICT Intake ya March 2018 naomba aniunganishe naye plz. Asante sana.
  4. Dereva Bodaboda Mstaarabu

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kwenye mafunzo ya askari hawa

    Kwenye suala la kukata shingo kulia na wengine kuangalia mbele ni kawaida,,,yaani huyu wa kulia ni lazima aangalie mbele lakini wengine wote wanakata kulia
  5. Dereva Bodaboda Mstaarabu

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Duh
  6. Dereva Bodaboda Mstaarabu

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli baadhi ya tabia anazoonesha mjamzito huashiria jinsia ya mtoto

    Kunakaukweli aisee,, Hivi hawa wasanii wa mbele mbona nawasikia wakisema anatarajia kuzaa mtoto wa kike,,kwani kunamashine zinaweza ona Jinsia ndani ya tumbo?
  7. Dereva Bodaboda Mstaarabu

    JamiiForums Tanzania Gundua kitu kwenye hizi picha

    Picha ya tatu,,jamaa kasimama juu ya vichwa vya watu
  8. Dereva Bodaboda Mstaarabu

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Hahaha
  9. Dereva Bodaboda Mstaarabu

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Nam
  10. Dereva Bodaboda Mstaarabu

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Hahahaaa hapa makao makuu ya Tz,, yaani Jiji la Dodoma ni saa 4:49 AM
  11. Dereva Bodaboda Mstaarabu

    JamiiForums Tanzania Pamoja na malalamiko yasiyoisha kuhusu udogo wa mishahara, hakuna Mtumishi yeyote mwenye jeuri ya kuacha kazi

    Thubutu yakooo,, nani aache kazi,, wakati watu wanaelimu hizo na hawana ajira,,, na ninaamini siku mtu akilopoka aache kazi atatangaza ajira mpya za kufidia chap chap,,, So kila mmoja analinda nafasi yake hata kama hapaongezeki.
  12. Dereva Bodaboda Mstaarabu

    JamiiForums Tanzania Special Treads for USM ALGER VS Dar es Salaam Young Africa

    Mapumziko,,matokeo ni mbili moja
  13. Dereva Bodaboda Mstaarabu

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu....

    Nasubiri
Back
Top Bottom