Mbabe hunter
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 327
- 480
Picha ya 3 kwa chini kwenye back ground kuna picha za sura yake nyingiii
Hhhahahahah shoo mwenyewe ndo maana nimeombaa kuwa msomaji wa comment manake akili na mwili vyote vimechokaaYani mi akili saiz haipo bana haha maswali kama haya yaje asubhi akili ikiwa bado ya moto
Afu ni sura yakePicha ya mwisho hamna ubao wa kukalia, picha 3 kutoka juu ya huyo jamaa aliyebeba begi, kwenye hayo majani makavu chini kuna sura za watu.
Hahhahaha ushafikaa alafu somytm nikishapewa ma ban yangu nakumissHizi ni picha mbali mbali kutoka kqenye mtandao ambazo kila moja zilikuja na fumbo but ukashindwa kujibu.
Sasa unakuja kwetu kutafuta majibu na miji juu.
Nimeangalia vizuri picha ya pili kutoka mwisho, nafikiri wa mwisho kushoto ameshika chupa ya mvinyo, au nyuma ya kochi kuna mtu amekaa.Picha ya 4 yule wa mishoni ni mrefu kuliko wote[emoji23]
Hahhahaha ushafikaa alafu somytm nikishapewa ma ban yangu nakumiss
Hahaha em na mi niangalie tenaNimeangalia vizuri nafikiri mwisho kushoto ameshika chupa ya mvinyo.
Aaah haya yawe yanakuja tu asubuhiHhhahahahah shoo mwenyewe ndo maana nimeombaa kuwa msomaji wa comment manake akili na mwili vyote vimechokaa
We nomaaaaaPicha ya 4 yule wa mishoni ni mrefu kuliko wote[emoji23]
Hapana zote najua majibu yakeHizi ni picha mbali mbali kutoka kwenye mtandao ambazo kila moja ilikuja na fumbo but ukashindwa kujibu.
Sasa unakuja kwetu kutafuta majibu na uchukue miji juu.😀😀
SafiiPicha no 4 kuna msichana mmoja hana miguu
Picha ya kwanza nimeshindwa ya pili huyo ni mbwa kalala ya tatu hayo majani ni vichwa vya huyo jamaa,ya nne kunadada mmoja hapo hana miguu ya tano huyo dada wakat anamikono mitatu
Ya kwanza kuna mtu mrefu ajabu kuleee mwisho kwenye goli la basketballPicha ya kwanza nimeshindwa ya pili huyo ni mbwa kalala ya tatu hayo majani ni vichwa vya huyo jamaa,ya nne kunadada mmoja hapo hana miguu ya tano huyo dada wakat anamikono mitatu