duu Mimi ni muhanga wa hili miezi kama mitatu iv imepita niliombwa space na kijana wangu duu tumedumu miaka mitatu kwenye relationship naona tulikua tumechokana kiukwelii tunapendana ila tukikutana hatuwezi bila kugombana sasa yeye aliniambia space mwaka mzima nikasema uyu ananipima imani na...
habari zenu wanandugu heshima kwenu naomba msaada wenu natafuta mahali pa kufanyia fld nipo arusha nimesomea mambo ya clearing and forward taxation and customs kwa ujumla na tax laws..ntafurahi nikifanikiwa..ila pia naweza Fanya kwenye eneo LA business au economical related areas mawasiliano...
Nmegundua kitu hapa maana mtoa mada umenipa uhakika wa idea ambayo na Mimi ilikua on my head over years now na ckuwahi kuja kama ni applicable on real life asante sana
Mimi ni mschana mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili Nina miaka 22 ninahitaji kazi yoyote ya muda kama party time job maana mda mwingi nakuja free sana naomba yeyote mwenye uhitaji wa mtu wakumsaidia saidia kazi ofisini anipm tafadhali malipo japo nauli tuu kwani nia yangu ni kupata uzoefuu na...
Jaman mmenikumbusha vya jkt Mimi nlienda ruvu uwiiiiiii ni shida nmemiss Yale maisha kwa kweli mwendo wa kujila na jeshi amna shubwela hata sekunde mabio ya kutoshaaa daaa acha kabisaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.