Natafuta kazi ya muda

Natafuta kazi ya muda

deprecious

Member
Joined
Apr 22, 2015
Posts
12
Reaction score
1
Mimi ni mschana mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili Nina miaka 22 ninahitaji kazi yoyote ya muda kama party time job maana mda mwingi nakuja free sana naomba yeyote mwenye uhitaji wa mtu wakumsaidia saidia kazi ofisini anipm tafadhali malipo japo nauli tuu kwani nia yangu ni kupata uzoefuu na kufanya kazi yoyote ile ya ofcn naomba kama itawezekana nipate maeneo ya mwenge au mikocheni dareslaam Nina uwezo mkubwa wa kuelewa haraka na ninaweza zaidi mambo ya biashara na uchumi kwa ujumla asanteni...
 
Back
Top Bottom