KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,880
- 40,040
Heshima kwenu wanajamii wenzangu....
Nina Samsung galaxy S4...tatizo la hii simu ni kwamba kila nikiingia youtube kutazama videos.....nakutana na video zikiwa hazina ubora kabisa na vivuli karibia nusu ya picha....sasa sijui kuwa hili tatizo ni la simu yangu tu au ni matatizo ya mtandao....??
Nisaidieni wanajamii nashindwa kuifurahia simu yangu....