TBC wanaonyesha mkutano wa UKAWA

TBC wanaonyesha mkutano wa UKAWA

MBONA WANAONYESHA WA CCM???walikosea labda......kitu kimoja nimegundua aidha ITV wanahujumu au live coverage inawashinda maana mikutano yote ya ukawa wakipewa ITV mara hauna sauti au ina stuck nini tatizo?
 
Chama dola nasikia wako live TV zaidi ya tatu mlio karibu na TV mtuhabarishe
 
Wanatafuta ushahidi kwamba walitenda haki katika kipindi chote cha kampeni.
 
yani najiuliza hadi saivi leo imekuwaje maana sielewi elewi. au wamekosea mitambo ikaingiliana?????

 
Ivi lowasa akiwa rais tuna possibility ya kuvifunga vi TV ivi na kuanza upya? Nauliza tu
 
Back
Top Bottom