Posho ya kukaimu ni difference ya mshahara wako na amount iliyokuwa attached kwenye hiyo nafasi unayoishikilia. Sijui kama nimeeleweka....mfano
Cheo unachokaimu ni cha meneja
Na salary ya meneja ni 900,000
Wewe ukiwa kama HR mshahara wako ni 700,000 na umetakiwa kukaimu nafasi ya meneja.
Hivyo...
Kwa masuala yote ya kukiukwa vipengele vya mkataba (breach of contract agreement) kama mfano hilo ulilotaja unatakiwa kufungua shauri ktk Tume ya Usuluhishi na Uamuzi wa Migogoro ya Kikazi (tunaitwa CMA) katika mkoa uliopo/unaofanyia kazi
Kwa masuala yote uvunjifu wa sheria za kazi (breach of...
Upo sahihi kabisa mkuu mpima mstaafu , kimsingi lengo la probation ni kukupima utendaji kazi wako kama unafit kwa ajira uliyoajiriwa nayo. Endapo mwajiri atakuwa hajaridhika na utendaji wako anaweza ku-extend muda wako wa matazamio. Na kumbuka hutakiwi kumuandikia barua mwajiri ya kutaka...
Hawa mabaharia watakuwa na kitu "inferiority complex" kama alivyosema McCarthy pale juu; mtaani miaka nenda rudi yanatumika majina ya vyeo vya watu haijawahi tokea malalamika sembuse hii ya mabaharia
1. Kuna watu wanajiita Raisi wa Manzese n.k hujawahi sikia serikali imetoa kauli ya kukemea...
Mi huwa nahisi ni gari za TCRA za kuzunguka mikoani mbalimbali kutambua kwa kunasa mawimbi ya local radio zinazorusha matangazo bila kupata usajili wao. Sina hakika kama niko sahihi
Ukishamaliza mzunguka wa likizo yako ya ugonjwa kama ulivyoainisha hapo juu, na ukawa bado haujapona kuweza kuendelea na kazi, basi mwajiri anaweza kuangalia kama una likizo za aina ingine ambazo haujachukua (mfano zile annual leave za siku 28), ikiwa nazo ulishamaliza, basi ktk good practice...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.