Nimerudi tenaJF kuomba msaada wa kazi bado sijakata tamaa

vee15

Senior Member
Aug 8, 2016
118
54
Habari zenu wana JF wote mimi ni binti napatikana Dar es salaam nimemaliza bachelor degree in business administration chuo cha elimu yabiashara(CBE)
Ninauzoefu wa maswala ya sales and marketing
Awali ya apo nina certificate na diploma ya procurement and suppy management
Nina uwezo wa kutumia computer vizuri kuandika report na kuongea na kuandika kiingereza vizuri
Natafta kazi ya aina yoyote itakayopatikan nimejaribu sana kuomba internship na kujitolea organization tofauti tofauti pasipo mafanikio yoyote nimerud tena hpa kuomba msaada mana nina imani wapo watu wenye uwezo na moyo na uthubutu wakunipatia msaada nipo tayari kufanya kazi hata bila malipo yoyote yale ilimradi nipate uzoepo
Natanguliza shkrani zangu
 
Kwa mawasiliano 0718223318 jokes aside sitopenda usumbufu na hii namba
Mungu akusaidie Mkuu upate kazi.
 
Back
Top Bottom