Recent content by deonlyme1

  1. deonlyme1

    JamiiForums Tanzania Mwalimu unapata 0 halafu ukafundishe watoto wetu?? Hongera psrs

    Mtu amekaa mtaani miaka zaidi ya mitano umpe mtiani unategemea apate 100😂😂
  2. deonlyme1

    JamiiForums Tanzania Chunusi na vipele vinanisumbua .

    Wakati wakulala unatumia chandarua(NET) mbu pia zinachangia ongezeko la chunusi usoni kama unangozi ya mafuta, omba Mungu atakuponya, nami nakuombea upone haraka hili tatzo la ngozi.....Mimi pia nilikua muhanga wa chunusi nimetumia vitu vingi sana (ikiwepo ule mkojo wa asubuhi ndio nikawa na...
  3. deonlyme1

    JamiiForums Tanzania Airtel mnaboa na maboresho yasiyoomekana

    Hapo masaa ni ya usiku kuanzia saa saba (7) usiku mpk saa kumi (10)usiku. Wewe umesoma masaa kwaki inglishi kwa hapo ni saa moja 7 usiku mpk saa nne (10) usiku.
  4. deonlyme1

    JamiiForums Tanzania Nikiongea muda mfupi koo linakauka na koo linaanza kukwaruza

    Punguza vinywaji baridi
  5. deonlyme1

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Karibuni kwenye ulimwengu wa Casino (Aviator) tupige mahelaaa
  6. deonlyme1

    JamiiForums Tanzania Aviator ipo kutufilisi vijana

    Mkuu nipasie hiyo pdf ntaka nirudishe hata nusu hasara
  7. deonlyme1

    JamiiForums Tanzania Aviator ipo kutufilisi vijana

    Huu mchezo unajulikana kama kindege ni live betting upo kutufilisi walah, ukiuangalia kwajujuu unaweza ona ni betting rahisi kupata mshiko ila ingia uwanjani ujionee. Huwezi amini wiki hizi mbili nimepoteza almost 200k kwaajili ya hii betting kisa tu kusaka hela ya kula bata la Xmass na New year.
  8. deonlyme1

    JamiiForums Tanzania Nauza Simu iPhone 7 128Gb

    0743231455[emoji337]
  9. deonlyme1

    JamiiForums Tanzania Nauza Simu iPhone 7 128Gb

    Nauza simu yangu aina ya iPhone 7 yenye Gb 128 Battery Health 100% FingurePrint[emoji106][emoji736] Iko clean no scratches at all[emoji91] Haina kipengelee chochoteee Karibuni Price 330k
  10. deonlyme1

    JamiiForums Tanzania Hernia operation

    Haina dawa iyo hali unayoifeel saiv....lazma iwe ivooo, ganzi inafanya yake apo....itaisha yenyewe japo kwa miez kma kadhaaa ivi kuwa mpoleee hakuna dawa ya kuponesha wala kupunguzaaa
  11. deonlyme1

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    [emoji419][emoji53]
  12. deonlyme1

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha udukuzi cha 'Pro-Russian' kimewajibu Anonymous

    Hii vita tamu sana[emoji91][emoji91]
  13. deonlyme1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda ngono sana

    Nipe namba yake! Mbn pesa ndogo sana hiyo pia anakupa challenge ya wew kutafuta extra money kwaajil ya hiyo kitu[emoji1666]
  14. deonlyme1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naitaji mwanamke huru

    [emoji26]daaah
Back
Top Bottom