You have big problem broNimefanya operation ya hernia lakin Toka nimeanza kupata nafuu nikijarib kukakaa au kutembea kichwa kinauma hatar.
Nilifanya operation juma nne tar 21
Shida ni Nini wakuu na nisharuhusiwa
Duhh kumbe Asante sana bro kwa maelekez may God bless youYou have big problem bro
That is back pain ya dawa ya usingizi
Ulipigwa nusu kaputi hivyo haukupumzika vya kutosha wakati wa operation na uliinua kichwa ndani ya masaa 24 ya operation.
It will take you days and months to heal
Relax and have a deep sleep everyday but avoid Valium but also don't walk around use your time to sleep and have some water .
Iam very sorry
Kwahiyo kiongoz hamna medical assistance yeyote nayoweza kupata ili kutatua tatizo incase nikirudi hospital???You have big problem bro
That is back pain ya dawa ya usingizi
Ulipigwa nusu kaputi hivyo haukupumzika vya kutosha wakati wa operation na uliinua kichwa ndani ya masaa 24 ya operation.
It will take you days and months to heal
Relax and have a deep sleep everyday but avoid Valium but also don't walk around use your time to sleep and have some water .
Iam very sorry
Kwani hadi 24hrs ipite ndo unyenyue kichwa? Mbona wanafanya ata 12hrs haipiti unaambiwa amka fanya zoezi? Iyo imenitokea mwaka jana ni operation ya kutoa mtoto ila kichwa kiliniuma vibaya jamani nlikuwa nalia, ikitokea nikainama na kuinuka kichwa naskia km kinapasuka dah nlitesekaYou have big problem bro
That is back pain ya dawa ya usingizi
Ulipigwa nusu kaputi hivyo haukupumzika vya kutosha wakati wa operation na uliinua kichwa ndani ya masaa 24 ya operation.
It will take you days and months to heal
Relax and have a deep sleep everyday but avoid Valium but also don't walk around use your time to sleep and have some water .
Iam very sorry
Kiliponaje sasaKwani hadi 24hrs ipite ndo unyenyue kichwa? Mbona wanafanya ata 12hrs haipiti unaambiwa amka fanya zoezi? Iyo imenitokea mwaka jana ni operation ya kutoa mtoto ila kichwa kiliniuma vibaya jamani nlikuwa nalia, ikitokea nikainama na kuinuka kichwa naskia km kinapasuka dah nliteseka

Nilifanyiwa hiyo mwaka 2013,kilichokuja kunipata kichwa Acha kabisa,yaaan nimekumbuka maneno y yule doctor,alikuwa anasisitiza sana wasinisemeshe,ila tulikuwa tunaongea na kucheka sana ndipo nilipo kitafuta kichwaNimefanya operation ya hernia lakin Toka nimeanza kupata nafuu nikijarib kukakaa au kutembea kichwa kinauma hatar.
Nilifanya operation juma nne tar 21
Shida ni Nini wakuu na nisharuhusiwa
katafute dawa hizi NEURON NDIO UTAPONA,TOFAUTI NA HAPO ITAKUSUMBUA SANANimefanya operation ya hernia lakin Toka nimeanza kupata nafuu nikijarib kukakaa au kutembea kichwa kinauma hatar.
Nilifanya operation juma nne tar 21
Shida ni Nini wakuu na nisharuhusiwa
Asante sana mkuu 🤝🤝Nilifanyiwa hiyo mwaka 2013,kilichokuja kunipata kichwa Acha kabisa,yaaan nimekumbuka maneno y yule doctor,alikuwa anasisitiza sana wasinisemeshe,ila tulikuwa tunaongea na kucheka sana ndipo nilipo kitafuta kichwa
CHA KUFANYA
Rudi palepale waambie ukipata muungwana watakupa data hizi hapa (NEURON) sijui kama nitakuwa sahihi hizi ndio zitapunguza hiyo kitu
Tumia muda mwingi kupumzika mkuu maumivu yatapungua taratibu yataisha nlikuwa natumia tu panadol ni kama nlimaliza miezi 2 napata maumivu ya kichwa adi nahisi kuchanganyikiwaKiliponaje sasa
Na kilichukuwa mda gan?? Please maan nd nipo kw hiyo Hali asahiv