Recent content by deogratius.massawe

  1. D

    Serikali imetangaza Ajira za Walimu Shule za Msingi na Sekondari

    [4/27, 21:22] dj massawe: A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya. Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kama ifuatavyo:- i. Walimu wa cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya...
  2. D

    Facebook

    Facebook in Social website ya kimataifa. Kaeni mkitambua kuwa anayemiliki FB ni miongoni mwa Mabilionea Marekani. Na huo utajiri aliupata kwaajili ya FB. Jamiiforum nice social website ya kitaifa, ya Haitambuliki sana kimataifa.
  3. D

    Wanawake na mauongo yao ya saluni haya hapa….!

    Je? Vipi kuhusu saluni za kiume.
  4. D

    Wanaume kazi kwenu(bachelors)!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!

    These theories will apply if all factors remain constant (ceteris peribus). Factors: 1.Mihemko (nyege) sio nyingi 2.Asiwe ana tabia za umalaya. 3.Anapenda sana pesa
  5. D

    Kama Mzazi, Hili limeniumiza Sana Sana.

    Umetuonjesha habari, embu itaje hiyo shule habari iwe tamu na kama kweli una uchungu na ni mzazi.
  6. D

    Msaada ndugu zang, Anti-Virus ipi ni bora na inayofanya kazi vizur..

    Antiviruses zote ni nzuri cha msingi uwe una update, Kespersky ni nyepesi kwahiyo kama kompyuta yako RAM yake na CPU ni ndogo, tumia kespersky. Na kama RAM/CPU ni kubwa tumia McAfee or Symantec. Usitumie antivirus 2, ila kuna free antiviruses unaweza kudownload Microsoft essential security na...
  7. D

    Kati ya Kupenda/Kupendwa na Kujipenda, Kipi kinatangulia?

    Amu wewe unachekeha kweli eti: sijawahi kupenda mtu kabla hajanipenda. Sasa na unayetaka akupende kwanza ili wewe umpende naye akifanya mgomo kama wewe akisema mpaka umpende ndipo akupende itakuwaje? Acha ubinafsi.
  8. D

    Msichana anayejua Computer anatakiwa

    Haya sasa umeshaanza kumtoa kasoro aliyeweka tigo yake wkt haipo hewani. Acha ujinsia na umaeneo ita watu wafanyie interview upate mfanyakazi mzuri.
  9. D

    CPA(T) v/s MASTERS

    Wazee CPA ni kama leseni ya uhasibu sio academic, ndio maana inaitwa certified public accountant (Tanzania) pia kuna ya Kenya CPA(K). Hata ukiwa na master ya uhasibu kama hauna CPA hutambuliki kitaaluma kwa kuwa sio registered, utaratibu ni wa kidunia na upo kwenye professionals zote, Udaktari...
  10. D

    JWTZ mpaka leo imeshindwa kuajiri wasomi wenye vipaji halisi, sababu hizi hapa...

    Nina master ya Sheria ya LLB natarajia kujiunga na JWTZ mwakani. Inaonekana huyu mdau alisoma chuo Kikuu cha kata cha UDOM na alipata degree ya sheria ya Pichu. Amedhalilisha professional ya Law
  11. D

    Msaada: Namna ya kumtoa msichana bikra

    Umejuaje ana bikra, mwaka huu wengi tutadanganyika, huyo anakuibia kaweka ndimu, ndiyo maana unahisi ana bikra, wasichana wa siku hizi huwa wanakamulia ndimu.
  12. D

    Vijana wetu wanafanya nini vyio vikuu ???

    Acha umbulula wewe, english sio elimu ni media (lugha) tu kwa ajili ya kujifunzia maarifa, kushindwa kupangilia grammer (sarufi) isiwe tatizo, hata nchi za asia, nyingi hazijui kiingereza ni india tu ndio wanajua kiingereza kizuri cha grammer kuliko hata waingereza wenyewe. Mbona wewe umeandika...
  13. D

    University assignments collection.

    Halafu anaomba assigment hajaspecify ni aina gani? Uchumi, Sheria, Sociology, Uhasibu n.k. kweli huyu ni zaidi ya kilaza wa University, huyu inabidi tumuite MBULULA; nahisi hawa ndio wale waliofaulu la darasa la saba wasiojua kusoma na kuandika, form wakapewa majibu yote, form six wakapewa...
  14. D

    Walioongoza mitihani ya Darasa la saba hawa hapa!

    Lakini wakati wa kusahihisha zinatumika namba mfano P.2345/123; P=Primary, 2345=Namba ya shule na /123 Ni namba ya mwanafunzi; kwahiyo wakati wa kusahihisha huwezi gundua hata ni shule gani, jinsia, kabila wala dini. Halafu tukianza kufikiri negative hata wavulana watasema wasichana...
  15. D

    Tanzia kwa mwl Mbise a.k.a Mkuda katutoka

    Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi, nawatakia pole wote pale Umbwe
Back
Top Bottom