Facebook

wala sikupata pigo bali niliamua tu baada ya kuona sivielewi vijimambo vya fb...na uko badoo wala sipajui..na wala sitaenda uko...yani siko kwenye social network yoyote zaidi ya JF..

mmmhh.. umenilazimisha niamini. so yule jamaa yako hakukuambia ujiunge na fb?
 
Facebook in Social website ya kimataifa. Kaeni mkitambua kuwa anayemiliki FB ni miongoni mwa Mabilionea Marekani. Na huo utajiri aliupata kwaajili ya FB. Jamiiforum nice social website ya kitaifa, ya Haitambuliki sana kimataifa.
 
NN, nadhani fb imeshapita potential yake... Imekuwa kubwa kila mtu pale all nonsense...me nilichia ngazi zaidi ya mwaka sasa. Muundo wake sio sustainable..IG ndio flagship Yao kwa sasa. Fb itakufa kama MySpace, hi5 n the likes...plus ukiwa fb unaacha bonge ya footprint ambayo itaku-haunt baadae
 
sidhani km fb ni mby ila watumiaji wengi wa bongo ndo wanashindwa kuitumia. binafsi watumiaji wengi nawaona km ni watoto sn. kwa siku mtu anaweza kuchange profile picture hata mara kumi. ili iweje sasa yan watumiaji wengi wauza nyago tu na hakuna cha maana wanachowaza zaidi ya kuupload tu pic
 
Unajua sole purpose y FB was created by Zuckerburg??

The sole purpose ya Fb ni kushare picz, ndo maana ikaitwa FACE-Book

So usiwalaumu sana
 
Back
Top Bottom