Recent content by Deogratius Isaack

  1. D

    Pendekezo la uanzishwaji wa kitengo(kamati) maalumu cha kushulikia kero za kikatiba

    Chamsingi ni kuanzisha na kuchochea mabidiliko ya kikatiba kupitia ushawishi kwa hao ambao tunao ndio wadau muhimu katika kukamilishi jambo kama hili Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    Karibu na Geti la kuingilia ofisi ya Waziri Mkuu ya Magogoni kuna mashimo makubwa sana na yanasababisha kero

    Hili jambo halija kaa vizuri, ndio maana kunasemo unao sema "nabii akubaliki kwao" Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    Pendekezo la uanzishwaji wa kitengo(kamati) maalumu cha kushulikia kero za kikatiba

    Ndugu zangu , mimi sio mwanasiasa na wala sishabikii chama chochote cha siasa. Ila nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayotendeka katika nchi yetu na nimekuwa nikiunga mkono kwa yale mazuri na kupingana na mabaya yote yanayo fanywa na watendaji wa serikali na wasio wa kiserikali . Ngoja...
  4. D

    MAGUNOMICS: Sera za Magufuli zinazoleta mageuzi chanya kiuchumi

    Hili andiko labda litaeleweka vizuri zaidi ikiwa atakaye lisoma atakuwa na elimu zaidi ya degree moja Over Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    Nawakumbusha Wana Yanga na wale wote msioipenda Simba

    Watani zangu simba nawaombea mfanye vibaya kwenye hatua inayofuata. Maana kwa hali ilivo hivi sasa huku mtaani sisi watanizenu hatupumui kwa raha . Tena nawaomba sana watani zangu hiyo hatua inayofuata ikiwezekana mvurunde kwa makusudi maana mkifanya vizuri mtakosa mtani wa kucheka naye. Chonde...
  6. D

    Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

    Watu wenye maono ya kweli ni wachache sana , naomba wanajukwaa na jf kwa ujumla ungewekwa utaratibu nzuri wakutunuku zawadi ilonono kwa wale tu watakaofanya vzr katika maono mbalimbali ambayo baadae yakapata kuwa kweli. Nawasilisha Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    Ujumbe maalumu kwa mheshimiwa Tundu Lissu

    Nimebarikiwa kwa kuusoma ujumbe huu uliojaa hekima za ki-Mungu. Jina la Bwana lihimidiwe milele ,Amina Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    Siasa za kukamia madaraka zinavyoinyausha na kuipukutisha CHADEMA siku baada ya siku

    mleta mada unapotoa kasoro ni vizuri ukatoa na suluhisho . Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    Mtoto wa RUGE amuombea samahani Baba yake

    Ukimiliki chombo chochote cha habar ni lazima utafahamika na wengi . Utafahamika na wengi sio kwasababu umefanya kitu cha kipekee , kwakuwa Watanzania wanahulka ya kupenda kulinganisha kwa macho baina ya kitu anachomiliki mtu husika na mhusika kimtazamo na kiumbo . Najua nimetumia lugha ngumu...
  10. D

    Je Rais wa Sasa amezima na amefanikiwa kwa kiwango gani kuzima ndoto za January Makamba kuwa Rais 2025?

    Jamani Watanzania tubadilike maana sura na familia zilezile kwenye uongozi haipendezi hata kidogo. Siwengine familia zetu hakuna hata mmja aliye kwenye nafasi muhimu za kiuongoz . Muangalie na familia yetu Watanzania ili maisha yabalansi kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    GE2020 Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama

    Jamani mbona mimi ninasifa zote za kuwa raisi wa 2025 . Muda ukifika mnikumbuke ndugu zangu msiniache. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    Pata mabati imara kwa bei nafuu

    Mode kwa heshima na taadhima futa tangazo hili ili kuepusha utapeli uliojiinesha kupitia kwa hili Tangazo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    Niliyoyakuta na ninayoyaona uraiani bora nirudi tu chuoni nilikotoka

    Tatizo la vijana wengi wa kitanzania ni kuwa wanapokuwa chuo wanaona maisha wameyapatia sana na badala yake huwaona walioko mtaana hawana ajira ama kabiashara chochote cha kujikimu maisha kuwa ni wavivu kwakuwa hataki kijishughulisha . Ndugu yangu kwakuwa na wewe ni mhitimu wa chuo na uko...
  14. D

    Mipango ya siri ya upinzani kuomba uungwaji mkono 2020 na Makanisa na Misikiti yafichuka

    Weka picha ya miamala ya fedha iliyoandaliwa ili tuwepamoja Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. D

    Tundu Lissu aujibu Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani, asema uchunguzi wa tukio lake haumhitaji yeye wala dereva wake

    Umetaka wanasheria wakufungue macho kuhusu upelelezi wa Mh.Lissu . Umeuliza maswali na kupitia maswali hayo wanasheria waje na majibu ya kisheria ila cha ajabu umeshatoa jibu juu ya maswali uliyoyauliza nadhani wataalamu hawana nafasi ya kukujibu maana jibu ushotoa na hata wakija na majibu...
Back
Top Bottom